Wadau wa Soka la Simba na Yanga anayejua mgogoro wa kugombania mchezaji, Ezekiel Greyson "Jujuman"

Wadau wa Soka la Simba na Yanga anayejua mgogoro wa kugombania mchezaji, Ezekiel Greyson "Jujuman"

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Wadau wa soka la bongo naomba tukumbushane jinsi ilivyotokea mgogoro wa kumgombania mchezaji mashuhuru miaka ya 1980 "Ezekiel Greyson " Jujuman baina ya vilabu vya Simba Na Yanga ili ambao hawakuwahi kuisikia nao waijui.
 
Mi nachojua alikuwa anaichezea Yanga, kisha akaitosa akahamia Simba kwa mapenzi yake mwenyewe
 
Akuwai kugombewa. Alitoka kisarawe akajiunga na Yanga mwaka 1977 akiwa na wenzie wawili na mkumbuka mmoja kwa jina la Yasin alikuwa anacheza namba 3 ila wote walikuwa na mapenzi na Simba.
Alichezea Yanga msimu mmoja wa mwaka 1977 na alikuwepo miongoni mwa wachezaji wa Yanga waliofungwa na Simba 6-0.
 
Back
Top Bottom