Wadau wa Sporty Hero naomba tujuane!

Wadau wa Sporty Hero naomba tujuane!

Tipstipstor

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
1,528
Reaction score
3,352
Hivi unawezaje kuvumilia odds zinapopanda ghafla bila ya ku-cashout?

Binafsi nawapongeza sana jamaa wanaoweza kuvumilia odds zinapopanda kufika mpaka 10 with in a second bila ya kucashout aiseee. Unaweza ukazimia kwa presha.
 
Sportyhero ni virtual game katika sportybet. Kuna superman anapaa ..safari yake inavyozidi kuwa ndefu ndio odds zinazidi kupanda sasa unatakiwa uamue kucashout au usubiri odds zipande zaidi.

Ila safari inakatika kwa kushtukiza so ukiwahi kucashout unaweza ukaondoka na odds ndogo wakati wenzako waliosubiri sekunde kadhaa wakaondoka na mpunga mrefu au unaweza ukawahi kusepa na kidogo na awaliosubiria wakaliwa pesa zote.
 
Back
Top Bottom