Sportyhero ni virtual game katika sportybet. Kuna superman anapaa ..safari yake inavyozidi kuwa ndefu ndio odds zinazidi kupanda sasa unatakiwa uamue kucashout au usubiri odds zipande zaidi.
Ila safari inakatika kwa kushtukiza so ukiwahi kucashout unaweza ukaondoka na odds ndogo wakati wenzako waliosubiri sekunde kadhaa wakaondoka na mpunga mrefu au unaweza ukawahi kusepa na kidogo na awaliosubiria wakaliwa pesa zote.