Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Sasa ulisema hivyo watalii wanaotembelea Kenya ama Afrika ya kusini tunawafikia hata kwa kuwakaribia? Mlima Kilimanjaro hauwezi ukazidi mapato yatokanayo na sekta za madini na kilimo hata kidogo shida elimu yetu mbovu.Ndio ukweli wenyewe Kilimanjaro ndio kivitio kikubwa cha pekee Tanzania. Hizo Mbuga hata Kenya na Africa kusini zipo. Ndio maana hata ndege zimeandikwa Kilimanjaro- The wing of Africa. Kuhusu mapato sio kigezo sana na hata hivyo huna data . Kilimanjaro The highest Point of Africa.
Mchango ni mkubwa sekta ya madini kwa mwaka inachangia zaidi ya bilioni 400 za kitanzania lakini mapato ya mlima kilimamanjaro hayafikii hata bilioni mia moja kwa mwaka. Kilimo kinatoa ajira na kuingiza pesa nyingi sema kama nilivyotangulia kusema bidhaa za mashambani, kilimo na uvuvi TRA hawapo ndiyo maana kwenye data huwezi kuona mchango wake kwa takwimu za Kodi kutoka TRA.Sasa kiongozi kiuhalisia si ndio inakuwa haichangii kwenye uchumi wetu
Du!!!Yale madini ya Geita yanaenda yuesei hapa mbabaki na michanga tu na wachimbaji wadogowadogo.
Pia wafanyakazi wale professional wa migodini asilimia kubwa ni wageni, wanawekeza makwao
Geita kuna uchawi sana, uchawi na maendeleo havikai pamoja
Lakini ndiyo wanatuona wajinga, wakati tunachangia pakubwa sana kwenye pato la taifa.Geita ni mkoa tajiri sana..Kwa maoni yangu ukiondoa Dar na Mwanza sioni mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro unaweza kufikia Geita kwa uchangiaji kwenye uchumi wa Taifa...
Kipimo ni GDP na Kwa muktadha huo ,Geita imezidi Dodoma ila sio KilimanjaroGeita ni mkoa tajiri sana..Kwa maoni yangu ukiondoa Dar na Mwanza sioni mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro unaweza kufikia Geita kwa uchangiaji kwenye uchumi wa Taifa...