Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Sasa ulisema hivyo watalii wanaotembelea Kenya ama Afrika ya kusini tunawafikia hata kwa kuwakaribia? Mlima Kilimanjaro hauwezi ukazidi mapato yatokanayo na sekta za madini na kilimo hata kidogo shida elimu yetu mbovu.Ndio ukweli wenyewe Kilimanjaro ndio kivitio kikubwa cha pekee Tanzania. Hizo Mbuga hata Kenya na Africa kusini zipo. Ndio maana hata ndege zimeandikwa Kilimanjaro- The wing of Africa. Kuhusu mapato sio kigezo sana na hata hivyo huna data . Kilimanjaro The highest Point of Africa.