Wadau wa uchumi inakuwaje mkoa wa Kilimanjaro unachangia pakubwa kwenye uchumi wa Tanzania kuzidi mkoa wa Geita?

Hao wanamchango mdogo sana! Mfanyakazi wa Mgodini hapa Geita ni mtu wa kawaida tu na hana hela kuzidi wachimbaji wadogo!
Wachimbaji wadogo wanatumia uchawi kupata madini,wakiahapata wanalewa na kutombra zote zinaisha
 
Utalii ndio unaingiza mapato mengi zaidi nchi hii, Kila mwaka kuna watalii zaidi ya 30,000 wanaotembelea mlima Kilimanjaro.
Utalii ndio unaingiza mapato mengi nchi hii? Si kweli
 
Maskini bhana tabu sana! Nhii bado masokini sana hata hapa Dar maisha bado sana! Japo tuendee kufarijiana!
Masokini ndo nini? Nhii ni nini? Isije ikawa kamusi ya kiswahili imebadilika mi sielewi umeandika nini
 
Wananchi wanafaidi sana maji ya mlima Kilimanjaro tatizo watu wengi wanapita toka moshi kwenda Arusha wanadhani tayari wanapajua Kilimanjaro tembeleakuanzia mashariki ndani ndani uataamini mzunguko wa pesa ni mkubwa ila wananchi kila mtu ni mjanja hawavuji hela hawaendekezi starehe na Tanzania hakuna mkoa wenye vijiji vilivyo endelea kama vijiji vya uchagani utofauti ni mkubwa sana
Mzee umeongea nini. Unaulizwa swala la uchumi unazungumzia maendeleo. Tofautisha shughuli za uchumi na maendeleo. Mi kwetu ni kibosho na narudia tena huo mlima kwa mchagga labda anachofaidi ni wagen wanaopanda mliman wanawaachia viela kidogo lakin sijawah kuona gawio linabaki katika vijiji vinavyoizunguka mlima vinapewa kama zile halmashuri zinakochimbwa dhahabu wanavyotoa gawio.
 
..umesema ukweli.

..kuna kipindi Mh.Mbatia alilalamika bungeni kuhusu wananchi wanaoishi karibu na Mlima Kilimanjaro kutokufaidika na mapato ya utalii ktk mlima huo.
 
Wasalaam ndugu zangu,

Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.

Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?

Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Usiogope ni siasa za kipumbavu tu hizo
 
Mzee umeongea nini. Unaulizwa swala la uchumi unazungumzia maendeleo. Tofautisha shughuli za uchumi na maendeleo. Mi kwetu ni kibosho na narudia tena huo mlima kwa mchagga labda anachofaidi ni wagen wanaopanda mliman wanawaachia viela kidogo lakin sijawah kuona gawio linabaki katika vijiji vinavyoizunguka mlima vinapewa kama zile halmashuri zinakochimbwa dhahabu wanavyotoa gawio.
Ukisema unataka uone gawio kwa serikali siyo raisi mkuu hazina ya taifa tangu lini ikajaa kisha irudishe gawio hata kunakochibwa gasi au magaa ya mawe wanaambulia vumbi tu bora hata mlima vijana wenye nguvu kuambulia vibarua
 
Wasalaam ndugu zangu,

Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.

Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?

Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Walaumu hao walio toa ripoti kwa kutoeleza walikuwa na maana gani!
Hiyo itakuwa ripoti ya namna gani isiyo kuwa na maelezo; au huyo huyo uliye msikia akisema hivyo, ungemuuliza ana maana gani kutaja tu bila maelezo yoyote!

Lakini inawezekana pia maelezo yapo, lakini kwa ufinyu wa akili yako hukuyaelewa!
Lawama pia inakuangukia wewe kwa uvivu unao uonyesha hapa kwa kuleta mada bila kujibidisha kwanza kutafuta taarifa ili upate jibu au mahali pa kuanzia mijadala. Badala yake unakuja kubwaga tu hapa taarifa isiyo kuwa na msaada kwa wasomaji..
Aina ya watu kama wewe ndio wanaoleta matatizo mengi sana huko kwenye maofisi ya serikali. Mmejazana huko, na hakuna kazi ya maana mnayo ifanya huko.
 
Mkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Nimekusikiliza. Na Dodoma jee, pamejaa nini?
 
Wasalaam ndugu zangu,

Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.

Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?

Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Kilimanjaro imebarikiwa na Mungu yangu mwanzo.
 
Mkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Kama Mwanza na Mbeya wanazalisha vitu ambavyo havikatwi kodi, na kodi ndio kigezo cha kupima mapato ya mkoa, iweje useme hii mikoa inaweza izidi dar?. Au unataka kusema Serikali inapoteza fedha nyingi kwa kutotoza kodi bidhaa nyingi kutoka hiyo mikoa?
 
Umeelewa au unapuyanga tu, wapi nimesema wanazalisha vitu visivyo takiwa na Kodi? Nimekwambia bidhaa za kilimo, madini na uvuvi Huwa haziingizwi kwenye mfumo wa TRA kwa maana hiyo ni ngumu kuona mapato yake at instant lakini bidhaa hizo ndiyo core products za uchumi wa taifa lolote.
 
Ukisema unataka uone gawio kwa serikali siyo raisi mkuu hazina ya taifa tangu lini ikajaa kisha irudishe gawio hata kunakochibwa gasi au magaa ya mawe wanaambulia vumbi tu bora hata mlima vijana wenye nguvu kuambulia vibarua
Hakuna kuna pct flan inatakiwa ibak mahali husika kusaidia maendeleo sema wachagga hawamind hizo Mambo maana Mambo mengi wanajifanyia wenyewe
 
Mkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Sasa kiongozi kiuhalisia si ndio inakuwa haichangii kwenye uchumi wetu
 
Haichangii kivipi wakati kilimo ndiyo sekta muhimu kwa maisha na uhai wa taifa lolote. Nenda popote hata ulaya mazao ya kilimo ni tax exemption na hata madini Kila siku unaambiwa serikali imekusanya mrabaha yaani sehemu ya faida kutoka kwa mzalishaji na siyo Kodi uwe unaelewa?.
 
Hakuna Cha high season Wala low season, Kilimanjaro haiwezi na kamwe haitaweza ipita Mapato Arusha au Mwanza
Mapato ya kiutalii Arusha kama mkoa ni kwa wilaya chache sana almost wilaya tatu tu, Arumeru, Arusha na Karatu labda kwaudogo.
 
Back
Top Bottom