K Kalolelo Senior Member Joined Oct 17, 2018 Posts 164 Reaction score 244 Jan 31, 2019 #1 Tunaomba kujua utaratibu wa mapokezi ya timu yetu ya Yanga pamoja na namna ya kutoa michango ya pesa pia wanayanga tujitokeze Mkwakwani siku ya Jumapili yanga daima mbele nyuma mwiko
Tunaomba kujua utaratibu wa mapokezi ya timu yetu ya Yanga pamoja na namna ya kutoa michango ya pesa pia wanayanga tujitokeze Mkwakwani siku ya Jumapili yanga daima mbele nyuma mwiko
pricaso JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 247 Reaction score 295 Jan 31, 2019 #2 Tunawasubri wageni wetu Sent using Jamii Forums mobile app