Wadau wa Yanga SC 'bwana'! Ajibu kasahaulika ni Tshishimbi tu

Wadau wa Yanga SC 'bwana'! Ajibu kasahaulika ni Tshishimbi tu

Ajibu battery low

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Issue ni performance bwana sio kushabikia tu,ajib bado hajaonyesha mpira wa kiwango chake halisi wakat huohuo tshishimbi anaupiga mwingi kwann tusimsahau ajib kwa Muda?
 
Tshishimbi ni zaidi ya Mkude,Kotei,Himid Mao kwa pamoja
Wanashangaa Ajibu kufunikwa na Majina Makubwa pale Jangwani...

Ila hawashangai kwanini Viongozi wao hawazungumzii suala la Majibu ya Rufaa ya FIFA ...? Hawa watu ni vipusa aisee!
 
Back
Top Bottom