Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Chongolo ametoa siku mbili hizo wakati wa kikao cha dhararu kilichowakutanisha viongozi wa Mkoa na forodha pamoja na wadau wa sekta ya usafirishaji kwa lengo la kupata suluhu ya changamoto ya msongamano wa malori katika mpaka huo.
Awali wakiwasilisha baadhi ya changamoto hizo baadhi ya wadau wa sekta ya usafiri wakiwemo wamiliki wa malori,chama cha wafanyakazi wa malori Tanzania na mawakala wa forodha Tunduma na viongozi mbalimbali ambapo wameeleza baadhi ya changamoto zao na kuomba ziweze kutatuliwa.
wasimamizi wa usafirishaji na wadau wa forodha katika mpaka wameeleza utaratibu uliopo na namna ambavyo wamekuwa wakifanya jitihada za kuondoa msongamano huo.
Pia soma
~ Mifumo ya Kikodi katika Mpaka wa Tunduma ni tatizo, inasababisha foleni kubwa. Kwanini Tanzania haitumii mfumo sawa na Zambia?
~ Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma
~ Bashungwa Aiagiza TANROADS Kufunga Mizani Mitatu ya Kupima Uzito wa Magari Tunduma