Cha ajabu hizi threads za watu wanaojifanya kutahadharisha wenzao zimekuwa nyingi sana baada ya yule kijana kuleta fursa ya forex na ikapata muitikio mkubwa!
Halafu ukitaka kuona ni jinsi gani watu hawa wanaojifanya kutahadharisha wenzao walivyokuwa na roho za kichawi,wivu na chuki hawajahi hata siku moja kuleta threads zozote zinazolenga kuwasaidia kiuchumi wenzao,
Kitu pekee wanachokiweza ni ku-act wana uhuruma sana na pesa za watu wasiowahusu, manina mtakufa na vidonda vya tumbo na safari ndio kwanza imeanza!
Strive for financial liberation.