Aanha nambie basi kijiji gani nije kukutembelea au nikufate PM kwa maelezo zaidi..?kwani na wewe ni mkulima?
nikirudi kutoka shambani nafatilia masuala mbalimbali na muhimu yalojiri kwa siku hapo ndiyo nikapata kuifahamu DIT.
Umekazana na kijiji lol.. sina pesa za safari ya kutibiwa Nairobi mieAanha nambie basi kijiji gani nije kukutembelea au nikufate PM kwa maelezo zaidi..?
tahadhari yahitajika kwa kila kitu na hapa sijatumwa na mtu au kundi fulani la watu.Hivi mnatumwa na nani nyie watu??..haturudi nyuma kamwe [HASHTAG]#TMT[/HASHTAG] the recipe for success
Akili za kushikiwa Jamaa namkubali sana kashikia hadi wano jiita wasomi akili na elewa si kila mtu anaweza shikiqa akiliHivi mnatumwa na nani nyie watu??..haturudi nyuma kamwe [HASHTAG]#TMT[/HASHTAG] the recipe for success
People wameshikiwa akili na ONTARIO yaani mtu analala anaamka anasifia ONTARIO but sijawahi ona INTARIO akiaifia mtu humu.tahadhari yahitajika kwa kila kitu na hapa sijatumwa na mtu au kundi fulani la watu.
dhamira yangu njema ndiyo imenituma kuandika hii mada.
HahahaaaCha ajabu hizi threads za watu wanaojifanya kutahadharisha wenzao zimekuwa nyingi sana baada ya yule kijana kuleta fursa ya forex na ikapata muitikio mkubwa!
Halafu ukitaka kuona ni jinsi gani watu hawa wanaojifanya kutahadharisha wenzao walivyokuwa na roho za kichawi,wivu na chuki hawajahi hata siku moja kuleta threads zozote zinazolenga kuwasaidia kiuchumi wenzao,
Kitu pekee wanachokiweza ni ku-act wana uhuruma sana na pesa za watu wasiowahusu, manina mtakufa na vidonda vya tumbo na safari ndio kwanza imeanza!
Strive for financial liberation.