Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa

ChangeTanzania_on_Instagram:_“Hii_ndio_receipt_baada_ya_kulipia_Kipimo_cha_Covid-19_uwanja_wa_...jpg


Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa .

Mungu ibariki Tanzania .
 
wale waliokunywa bia baada ya ile habari nzito ya mwezi march walikuwa wanashangilia kurudi kwenye huu mfumo

alafu wanakwambia kazi inaendelea 🤷🏽‍♂️
Kama Magufuli alipinga ufisadi Sabaya na Kakoko wamekuwaje mabilionea ?
 
Lakini unawezaje kulipa ukapewa kikaratasi kama hicho? Mbona ukifika huko unakokwenda unatakiwa kuonesha certificate ya negative results sasa usipokuwa nayo unafanyaje? Unawapa hicho ki paid risiti?
certificate haihusiani na risiti ya malipo
 
Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa

View attachment 1789771

Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa .

Mungu ibariki Tanzania .
Kwa ujumla huu ni mradi wa kifisadi sana na uta discourage Watalii wengi. Imagine mtu a alipa huko alikotoka halafu akitua uwanja wa ndege unamlipisha tena kupima tena kwa bei kubwa.

Na kama ni control ya kweli ni kwa nini wanatarget tu wasafiri wa Airport kwa hizo boarder nyingine kwa njia za barabara zenyewe hazina matatizo...!!?
 
Usichanganye kati ya Chadema na ACT
Chadema mmetusaliti watanzania kwa kuunga mkono utawala wa mama na yote anayofanya. You're no longer a so called opposion part.
 
Back
Top Bottom