KUNGUNIMSOMI
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 181
- 191
Control number zinatolewa uwanjani pale unapofika kuna karatasi unapewa inaconrol number then unalipia kwenye desk ya bank huwezi kupimwa kabla ujapata control number hii nilishuhudia ata wachezaji wasimba waliporudi...ila ngoja wenyewe waje watoe ufafanuzi