Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa
View attachment 1789771
Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa .
Mungu ibariki Tanzania .
Kama Magufuli alipinga ufisadi Sabaya na Kakoko wamekuwaje mabilionea ?wale waliokunywa bia baada ya ile habari nzito ya mwezi march walikuwa wanashangilia kurudi kwenye huu mfumo
alafu wanakwambia kazi inaendelea 🤷🏽♂️
sasa hapo chadema imeingiaje ?Chadema mmetusaliti watanzania kwa kuunga mkono utawala wa mama na yote anayofanya. You're no longer a so called opposion part.
Hapa watu wanakula kilaini kabisa. Bila ukali nchi inaweza kurudi enzi za Kikwete.Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa
View attachment 1789771
Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa .
Mungu ibariki Tanzania .
Hilo tamko rasmi walilitolea wapi na lini?Chadema mmetusaliti watanzania kwa kuunga mkono utawala wa mama na yote anayofanya. You're no longer a so called opposion part.
certificate haihusiani na risiti ya malipoLakini unawezaje kulipa ukapewa kikaratasi kama hicho? Mbona ukifika huko unakokwenda unatakiwa kuonesha certificate ya negative results sasa usipokuwa nayo unafanyaje? Unawapa hicho ki paid risiti?
Bora iliwe tu Ili zifike chini.Maana isipoliwa na wengi uliwa na wachacheHapa watu wanakula kilaini kabisa. Bila ukali nchi inaweza kurudi enzi za Kikwete.
Oooh ni wakati wa kuingia nchini sio? Hapo sawacertificate haihusiani na risiti ya malipo
Kwa ujumla huu ni mradi wa kifisadi sana na uta discourage Watalii wengi. Imagine mtu a alipa huko alikotoka halafu akitua uwanja wa ndege unamlipisha tena kupima tena kwa bei kubwa.Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa
View attachment 1789771
Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa .
Mungu ibariki Tanzania .
Chadema mmetusaliti watanzania kwa kuunga mkono utawala wa mama na yote anayofanya. You're no longer a so called opposion part.