Wadau wamimina pongezi kwa Madereva, yadaiwa Ushujaa wao umetukuka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Katika nchi ambayo watu wanatekwa na kuuawa bila uchunguzi, wanapotokea mashujaa na kutangaza mgomo kwa lengo la kuchagiza madai yao ni lazima wapongezwe

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Madereva ambao pamoja na hatari ya kutekwa na kuuawa lakini wamegoma. NCHI IMEFIKA PATAMU

UJUMBE: WENYE NCHI NI WANANCHI
 
Wasubiri watoto wetu wamalize mtihani kwanza ndo wagome
Kiongozi wangu, hoja yako ina mashiko kijamii, lakini kimkakati kuna kitu kinaitwa leverage (nguvu ya kushinikiza). Kwenye diplomasia au migomo, bila kuwa na kitu kinacholeta athari ya haraka, madai huwa hayachukuliwi kwa uzito. Hali hii ya mitihani ya watoto ndiyo inayotengeneza 'leverage' madhubuti kwa madereva ili serikali au waajiri wasikilize kilio chao kwa dharura inayotakiwa.
 
Hayae karibu Kizimkazi
 
Mitano tena kwa Madereva WOTE nchi nzima.

Tuatelewana tu.
 
Walisema wana mabasi yao watawabeba kuwapeleka na kuwaludisha
 
We wapongeze tu, lakini pia viongozi wa madereva wakipelekwa kwa Ndunguru wanahamasisha/wanachochea madereva kuitisha the Executive, uwape wanasheria wa kuwatetea sasa.
 
cdm hizi harakati za kina mwaipaya zina changamoto na kudhihirisha matatizo mengi



hivi hapa hata hawa wazungu hawashangai kweli? dereva anagoma kufata sheria za barabarani

haya ni maajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…