Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Mtaua wangapi?Watashughulikiwa
Mtaua wangapi?Watashughulikiwa
Sheria za kibwege fuata wewecdm hizi harakati za kina mwaipaya zina changamoto na kudhihirisha matatizo mengi
View attachment 3680380
hivi hapa hata hawa wazungu hawashangai kweli? dereva anagoma kufata sheria za barabarani
haya ni maajabu sana
tukiwaambia ccm na chadema tofauti ni majina mnabishaSheria za kibwege fuata wewe
Mzee kwa sasa nchi yetu imejaa vituko vya kila aina. Nachomaanisha nchi imejaa vitendo vya kukomoana. Unaweza kuona mawazo yangu ni ya kipumbavu, kimaskini n.k (Ingawa najua hujajipa muda kuyatafakari mawazo yangu, ungeyatafakari husingejibu ulichojibu), lakini kwa sasa lolote linaweza kutokea wakati wowote kwenye nchi yetu. Nasisitiza, kesho ukisikia viongozi wa madereva wamepewa uhujumu uchumi, the famous kuitisha the executive n.k wala husishangae. Jiandae kuwapa mawakili broMawazo yako ni ya kipumbavu sana yamejaa umasikini mtupu!
Usitufananishe na ccmtukiwaambia ccm na chadema tofauti ni majina mnabisha
jambo hili mnakurupuka tunaacha vipi kuwafananisha na ccm,Usitufananishe na ccm
Hivi umeelewa hoja ya madereva?jambo hili mnakurupuka tunaacha vipi kuwafananisha na ccm,
wewe unashagilia dereva kugoma, dereva kwenye madai yake anasema wasifungiwe vts hawazitaki, wewe unaona haya ni mambo ya maana kweli?
wanaongea vitu vingi iiwemo hivyo nilivyosema mimiHivi umeelewa hoja ya madereva?
Mgomo na maandamamo ni njia mojawapo ya kuonyesha kutokubaliana na hali au jambo ila ajabu naambiwa policcm badala ya kwenda kusikiliza watu wao wanawatishia .
tufafanulie matatizo yakecdm hizi harakati za kina mwaipaya zina changamoto na kudhihirisha matatizo mengi
View attachment 3680380
hivi hapa hata hawa wazungu hawashangai kweli? dereva anagoma kufata sheria za barabarani
haya ni maajabu sana
Hao wazungu wanawashangaa sana na kuwaona wa hovyo. Maana sheria zilizopo kwao na hao wazungu zikitumika Tanzania hakuna gari itatembea barabarani. Hao Chadema waache kudandia hoja za watu, watawaharibia bure.cdm hizi harakati za kina mwaipaya zina changamoto na kudhihirisha matatizo mengi
View attachment 3680380
hivi hapa hata hawa wazungu hawashangai kweli? dereva anagoma kufata sheria za barabarani
haya ni maajabu sana
jamaa hawaelewi kabisa, test tu ya dereva kuendesha gari pale kwa mkoloni wetu U.K hata uchukue madereva nguli wa hapa nchini wengi wanaweza wasitoboe, maana checklist ya siku ya kutest dereva ili apate leseni ni ngumu kwelikweli kama dereva anachojua yeye ni kukanyaga mafuta tu.😂😂😂Hao wazungu wanawashangaa sana na kuwaona wa hovyo. Maana sheria zilizopo kwao na hao wazungu zikitumika Tanzania hakuna gari itatembea barabarani. Hao Chadema waache kudandia hoja za watu, watawaharibia bure.
hao si wazungu , tuchukulie wawe wametoka United Kingdom UK, nakupa homework nenda hata google, youtube kaangalie driving test zao tu, alafu uje hapa tujadili kama hao wazungu hapo hawawashangai hao madereva.tufafanulie matatizo yake
Kabla sija google naomba unisaidie kwanza wewe una hiyo leseni ya UK?hao si wazungu , tuchukulie wawe wametoka United Kingdom UK, nakupa homework nenda hata google, youtube kaangalie driving test zao tu, alafu uje hapa tujadili kama hao wazungu hapo hawawashangai hao madereva.
kule hata mtu akurekodi unaendesha hovyo akituma clip polisi adhabu unapewa. watu wanathamini sana leseni kwa kua inawapa matumaini wote waliopo barabarani ya kua salama
Hii nchi imejaa wajinga wengi sanaHao wazungu wanawashangaa sana na kuwaona wa hovyo. Maana sheria zilizopo kwao na hao wazungu zikitumika Tanzania hakuna gari itatembea barabarani. Hao Chadema waache kudandia hoja za watu, watawaharibia bure.
Wapo wengi sana ni ngumuWasije wa kufutwa mmoja moja tu
Mimi ninayo unataka kuiona?Kabla sija google naomba unisaidie kwanza wewe una hiyo leseni ya UK?