Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kiongozi vipi inakaribia kuolewa au ?Hizo picha mbili za chini nikajua ni watu wapo kwenye kikao cha kitchen party π
ππππKiongozi vipi inakaribia kuolewa au ?
Hakuna mwanaume anayewaza kitchen party 2330hrsNilijua n kikao cha ndugu wa mama ako mana ndo ameuzimikia moto wangu naompelekea
Uhakika mtupu!Na chakuongezea hapo ni kwamba hata hao wananchi waliojitokeza wamekuja Kwa hiari yao na hawajabebwa na malori kama tabia ya chama fulani
Wadau wenyewe mbona hawajulikani +kuonekana??Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango cha Uongozi.
Huyu Sugu kabla ya kuongoza kampeni Tukufu ya No Reform No Election, alikuwa ziarani Nchini Marekani akiongoza jopo zito lililokwenda huko kwa masuala ya Uwekezaji na masuala ya kisiasa, Sugu kila alipopita alipokelewa kama Ofisa wa Nchi na Wananchi wa Tanzania, alipewa heshima ya daraja la kwanza.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Matokeo ya kutoa Matongo tongo ndio haya ya kuandaa Mikutano ya kisasa iliyorekodiwa kwa camera za kisasa huku sound ikiwa bomba kabisa, hakuna Mic wala spika kwenye mikutano ya Chadema Kanda ya Nyasa iliyokuwa Inakoroma, Kuna wanaodai kwamba Mzigo wote wa Sound umeletwa kutoka USA.
View attachment 3288319View attachment 3288320
Usiku Huu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiendesha Kikao cha ndani baada ya kuhitimisha Mikutano yake
View attachment 3288322View attachment 3288323
Kama huna macho hayo siyo makosa yetuWadau wenyewe mbona hawajulikani +kuonekana??
Ndio wanawake lazima mpeane taarifa za kitchen partyNdio taarifa niliyopewa na bimkubwa wako
Akina dada wa mbagala kwa kuchamba kama hadija kopaMm kama nayemkojolesha lazima anipe taarifa
Hapo umevaa sidiria umepiga jekiInasikitisha sana mkuu π
ππππHapo umevaa sidiria umepiga jeki
Unahema juu juu kama kambale na kijora chako cha 6500 unawaza kuolewa tu
Ukivua hiyo sidiria nyonyo mpk kitovuniKumbe ndo bei ya kijora anayekusugua ndo anakununulia π
Huyu chawa mtiifu wa Chadema ana vituko sana πHili neno 'kimataifa' siku hizi linakosewa heshima sana!!
ππππHuyu chawa mtiifu wa Chadema ana vituko sana π
Ushakutana na mwehu mwenzio.ππππ
Kumbe hauna tofauti na mwanamke mwenzioKama yale ya bimkubwa wako alivyokuwa anakunyonyesha huku upo mgongoni, anafanya kulitupa tuu huko nyuma na ww unanyonya π₯
ππππUshakutana na mwehu mwenzio.
Utashtakiwa ujue! Neno chwa lina hati miliki ya chama mboga ππHuyu chawa mtiifu wa Chadema ana vituko sana π