PreGE2025 Wadau Wampongeza Joseph Mbilinyi kwa kuandaa Mikutano ya 'No Reform, No Election' yenye hadhi ya Kimataifa

PreGE2025 Wadau Wampongeza Joseph Mbilinyi kwa kuandaa Mikutano ya 'No Reform, No Election' yenye hadhi ya Kimataifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango cha Uongozi.

Huyu Sugu kabla ya kuongoza kampeni Tukufu ya No Reform No Election, alikuwa ziarani Nchini Marekani akiongoza jopo zito lililokwenda huko kwa masuala ya Uwekezaji na masuala ya kisiasa, Sugu kila alipopita alipokelewa kama Ofisa wa Nchi na Wananchi wa Tanzania, alipewa heshima ya daraja la kwanza.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Matokeo ya kutoa Matongo tongo ndio haya ya kuandaa Mikutano ya kisasa iliyorekodiwa kwa camera za kisasa huku sound ikiwa bomba kabisa, hakuna Mic wala spika kwenye mikutano ya Chadema Kanda ya Nyasa iliyokuwa Inakoroma, Kuna wanaodai kwamba Mzigo wote wa Sound umeletwa kutoka USA.

View attachment 3288319View attachment 3288320

Usiku Huu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiendesha Kikao cha ndani baada ya kuhitimisha Mikutano yake

View attachment 3288322View attachment 3288323
Na usisahau huyu ni Team Mbowe ndio maana Team Mbowe mwenzake Yericko Nyerere kampongeza. Ngoja mwende kwa akina Team Lissu ambao hawajatoa tongotongo uone itakavyokuwa! Ahahahahaha!!!
 
Kumbe hauna tofauti na mwanamke mwenzio
C hua namuona kitandani wakati nkimnyoosha, najisemea hili n lapa au slippers 😂 anyway Ni mtaam haswa ndo mana simchoki
 
No reforms no election ,Kwa Kanda ya Nyasa hatudaiwi

isibiriwe kusini MWA Tanzania na ikiwezekana ipigwe round ya pili
 
Back
Top Bottom