Wadau wanakumbuka kweli mchango wa Mr. Nice kwenye kuikuza Bongo Flavour?

Wadau wanakumbuka kweli mchango wa Mr. Nice kwenye kuikuza Bongo Flavour?

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Hivi watu wanakumbuka mchango wa huyu mwamba katika Entertainer ya bongo flavor au ndio kila mtu ale urefu wa kamba yake?! 😂

A0BBF021-C653-4A4D-813E-D35A55614FEB.jpeg

Wanamuita Lucas Mkenda au “Mr Nice”
#Legendary
 
Tunakumbuka. Tumsaidiaje? Au nae anatakwa kulipwa tu kwa mchango wake kama Chiddy?
 
Siku hizi kila mtu anapambana kivyake vyake,kila mtu anajiangalia yeye kama yeye tu.
 
Back
Top Bottom