Je ni trading style ipi ambayo umeona kuwa inakufaa?? , Tuanzie hapa kwanza.wenzangu wa forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube
Kila mtu kwa utashi wake, ana uhuru wa kuchagua shughuri anayo ona ina mfaa katika maisha yake.Halafu naona kila anaekuja kuhusu forex ni kulia amepigwa,amepigwa. Hakuna anaerudisha mrejesho wa kupiga hela huko. Kama ni hivyo kwa nini msiachane na hilo dude?
Natamani sana kua scarper, japo nakosea maana scarping inafaa kuingia sokoni lot size kubwaJe ni trading style ipi ambayo umeona kuwa inakufaa?? , Tuanzie hapa kwanza.
Sababu kusoma bila ya kuwa na specific trading strategy/ trading style ; yaani nini hasa unafanyia kazi, still itakuwa bado hujafanya kitu.
Wengi wanaolia kupata loss ni wanavamia soko la forex bila kua Na proper education about forex market. Mimi nikiwa mmoja wao🙂Halafu naona kila anaekuja kuhusu forex ni kulia amepigwa,amepigwa. Hakuna anaerudisha mrejesho wa kupiga hela huko. Kama ni hivyo kwa nini msiachane na hilo dude?
Umenena ukweli mtupuKila mtu kwa utashi wake, ana uhuru wa kuchagua shughuri anayo ona ina mfaa katika maisha yake.
- Kuna waliochagua kilimo
- Kuna walio chagua ajira
- Kuna waliochagua biashara ndogo ndogo
- Kuna walio chagua ku_bet
- Kuna waliochagua kuwa wanasiasa
- Kuna waliochagua kufanya biashara ya ubadilishaji wa fedha
- Kuna waliochagua kuwa mama ntilie
- Kuna walio chagua kuwa waosha magari
- Kuna walio chagua kulelewa na kutofanya kazi yeyote
- .....
Waweza endelea orodha ni ndefu,
Ni utashi wao
Hivyo ni vyema na huna budi ndugu Swet-R kuheshimu utashi wa mtu na uchaguzi wa mtu binafsi kile alichochakua kufanya kwenye maisha yake licha ya changamoto anazokumbana nazo
Forex haina tofauti na kamari muda wowote unaliaKila mtu kwa utashi wake, ana uhuru wa kuchagua shughuri anayo ona ina mfaa katika maisha yake.
- Kuna waliochagua kilimo
- Kuna walio chagua ajira
- Kuna waliochagua biashara ndogo ndogo
- Kuna walio chagua ku_bet
- Kuna waliochagua kuwa wanasiasa
- Kuna waliochagua kufanya biashara ya ubadilishaji wa fedha
- Kuna waliochagua kuwa mama ntilie
- Kuna walio chagua kuwa waosha magari
- Kuna walio chagua kulelewa na kutofanya kazi yeyote
- .....
Waweza endelea orodha ni ndefu,
Ni utashi wao
Hivyo ni vyema na huna budi ndugu Swet-R kuheshimu utashi wa mtu na uchaguzi wa mtu binafsi kile alichochakua kufanya kwenye maisha yake licha ya changamoto anazokumbana nazo
NakataaForex haina tofauti na kamari muda wowote unalia
Huu ni mtazamo wako, kwa ufahamu wako ulipoishia, hivyo sidhani kama ni busara kuwafanya wengine wakubaliane na mtazamo wako, kwa ukomo wa ufahamu wako ulipo ishia.Forex haina tofauti na kamari muda wowote unalia
Kinachokuua cha kwanza ni risk management kabla ya stratergy, jifunze risk management mpaka ikae moyoni.Natamani sana kua scarper, japo nakosea maana scarping inafaa kuingia sokoni lot size kubwa
Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo!
Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions ulipokosea.
3/ Ukiwa mfanyabiashara kuna kupata na kukosa.
4/ Utulivu na uvumilivu unaitajika sana ili kupiga hatua.
Sasa wananzengo wenzangu wa forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube ili niludi kivingine kwenye biashara yetu ya forex. Karibuni
Kwa hiyo mkuu dranx ,nianze kuingia darasani kuhusu hii ndude?. Niweke mtaji wa kiasi gani ili ni-trend bila wasiwasi? Au niingie kwanza darasani?Wengi wanaolia kupata loss ni wanavamia soko la forex bila kua Na proper education about forex market. Mimi nikiwa mmoja wao[emoji846]