Wadau wenzangu wa Forex...

Wadau wenzangu wa Forex...

Huu ni mtazamo wako, kwa ufahamu wako ulipoishia, hivyo sidhani kama ni busara kuwafanya wengine wakubaliane na mtazamo wako, kwa ukomo wa ufahamu wako ulipo ishia.
biashara ni kuuza na kununua.
Kwenye forex unauza nini na una nunua nini?
 
Kabla sijakujibu, nipe majibu ya haya maswali hapa chini
#1. - Je umewahisafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine?
#2. - Je umewahi kwenda hata benki kubadili fedha USD to TZS?
#3. - Je unafahamu kuwa ukienda benki kuna bei mbili za USD , Bei ya kuuzia na kununulia?
 
mkuu huyo keshajiita "mjinga" ivyo angepaswa kurleweshwa sana..

Usitumie nguvu nyingi..
 
Bank wanafungua account na ku trade?
Kabla sijakujibu, nipe majibu ya haya maswali hapa chini
#1. - Je umewahisafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine?
#2. - Je umewahi kwenda hata benki kubadili fedha USD to TZS?
#3. - Je unafahamu kuwa ukienda benki kuna bei mbili za USD , Bei ya kuuzia na kununulia?
 
Bank wanafungua account na ku trade?
- Hii comment yako inanipa majibu mawili.
#1. Hujaelewa nini nilicho andika na kukuliza - Hivyo umeshindwa kutoa majibu stahiki kama hatua ya kwanza ya kutaka kuelekezwa au kujifunza.

#2. Huelewi, hujitambui kuwa huelewi, hivyo itakuwa ni kazi bure kukuelewesha ili utambue.

Nakutakia siku njema, Jari muda wako, Fanya yako, wa forex waachie forex yao, wa boda boda waachie boda boda.
 
ten pips starategy yaani teget yangu ni pips kumi tuu
Sahihi 10 to 25pips lazima uhit TP. - na inafaa sana kwa scalping
1569933018161.png

Ukiangalia hii picha utaona profit in PIPS ni zaidi 160 blue pips zina run.
- Huwa tunajaribu kuanza na trend na kwenda nayo hadi price inapo onyesha dalili ya kufanya reversal ndoi un close order manually iwapo TP uliyoweka haijafikiwa
 
Sahihi 10 to 25pips lazima uhit TP. - na inafaa sana kwa scalping
View attachment 1220652
Ukiangalia hii picha utaona profit in PIPS ni zaidi 160 blue pips zina run.
- Huwa tunajaribu kuanza na trend na kwenda nayo hadi price inapo onyesha dalili ya kufanya reversal ndoi un close order manually iwapo TP uliyoweka haijafikiwa
Uko vizuri sana mkuu, ngoja niongeze bidii
 
sawa.ila forex sio Biashara.
Ni sawa na Kamari.
Muda wowote unalia.
- Hii comment yako inanipa majibu mawili.
#1. Hujaelewa nini nilicho andika na kukuliza - Hivyo umeshindwa kutoa majibu stahiki kama hatua ya kwanza ya kutaka kuelekezwa au kujifunza.

#2. Huelewi, hujitambui kuwa huelewi, hivyo itakuwa ni kazi bure kukuelewesha ili utambue.

Nakutakia siku njema, Jari muda wako, Fanya yako, wa forex waachie forex yao, wa boda boda waachie boda boda.
 
Kwa hiyo mkuu dranx ,nianze kuingia darasani kuhusu hii ndude?. Niweke mtaji wa kiasi gani ili ni-trend bila wasiwasi? Au niingie kwanza darasani?
Ingia kwanza class uielewe market maana hata ukiwa 5000$ kama huelewi market vizuri utazichoma hizo hela
 
sawa.ila forex sio Biashara.
Ni sawa na Kamari.
Muda wowote unalia.
biashara yoyote nikamali saa mzee hata ukiwa una uza nyanya zikikuozea umeliwa
Kilimo napo kikigoma hasala tuu
Ok... May be niambie biashara gan ambayo sio yakupata patia ??
Hata kuajiliwa ni kamali mzee anaweza fanya kazi na usilipwe 😂😂😂
 
Mimi nakomaa na strategy ya BTMM!
Je ni trading style ipi ambayo umeona kuwa inakufaa?? , Tuanzie hapa kwanza.

Sababu kusoma bila ya kuwa na specific trading strategy/ trading style ; yaani nini hasa unafanyia kazi, still itakuwa bado hujafanya kitu.
 
Back
Top Bottom