Kitandu Nkoru
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 885
- 973
Kwani Ontario na yule msouthern wake hawajaiona hii thread?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biashara ni kuuza na kununua.Huu ni mtazamo wako, kwa ufahamu wako ulipoishia, hivyo sidhani kama ni busara kuwafanya wengine wakubaliane na mtazamo wako, kwa ukomo wa ufahamu wako ulipo ishia.
Na
Nakataa
Kabla sijakujibu, nipe majibu ya haya maswali hapa chiniKwenye forex unauza nini na una nunua nini?
This is the best comment kweny huu Uzi.Kinachokuua cha kwanza ni risk management kabla ya stratergy, jifunze risk management mpaka ikae moyoni.
mkuu huyo keshajiita "mjinga" ivyo angepaswa kurleweshwa sana..Kabla sijakujibu, nipe majibu ya haya maswali hapa chini
#1. - Je umewahisafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine?
#2. - Je umewahi kwenda hata benki kubadili fedha USD to TZS?
#3. - Je unafahamu kuwa ukienda benki kuna bei mbili za USD , Bei ya kuuzia na kununulia?
Kabla sijakujibu, nipe majibu ya haya maswali hapa chini
#1. - Je umewahisafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine?
#2. - Je umewahi kwenda hata benki kubadili fedha USD to TZS?
#3. - Je unafahamu kuwa ukienda benki kuna bei mbili za USD , Bei ya kuuzia na kununulia?
- Hii comment yako inanipa majibu mawili.Bank wanafungua account na ku trade?
Sahihi 10 to 25pips lazima uhit TP. - na inafaa sana kwa scalpingten pips starategy yaani teget yangu ni pips kumi tuu
Ndicho nilichojifunza kwake, na sita mjibu tena.Usitumie nguvu nyingi..
Uko vizuri sana mkuu, ngoja niongeze bidiiSahihi 10 to 25pips lazima uhit TP. - na inafaa sana kwa scalping
View attachment 1220652
Ukiangalia hii picha utaona profit in PIPS ni zaidi 160 blue pips zina run.
- Huwa tunajaribu kuanza na trend na kwenda nayo hadi price inapo onyesha dalili ya kufanya reversal ndoi un close order manually iwapo TP uliyoweka haijafikiwa
- Hii comment yako inanipa majibu mawili.
#1. Hujaelewa nini nilicho andika na kukuliza - Hivyo umeshindwa kutoa majibu stahiki kama hatua ya kwanza ya kutaka kuelekezwa au kujifunza.
#2. Huelewi, hujitambui kuwa huelewi, hivyo itakuwa ni kazi bure kukuelewesha ili utambue.
Nakutakia siku njema, Jari muda wako, Fanya yako, wa forex waachie forex yao, wa boda boda waachie boda boda.
ufinyu wa kufikiria mzeeForex haina tofauti na kamari muda wowote unalia
biashara yoyote nikamali saa mzee hata ukiwa una uza nyanya zikikuozea umeliwasawa.ila forex sio Biashara.
Ni sawa na Kamari.
Muda wowote unalia.
Je ni trading style ipi ambayo umeona kuwa inakufaa?? , Tuanzie hapa kwanza.
Sababu kusoma bila ya kuwa na specific trading strategy/ trading style ; yaani nini hasa unafanyia kazi, still itakuwa bado hujafanya kitu.