Wadau wetu wa maendeleo wa sasa hivi, wale wengine ni mabeberu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Nchi ishakua pochi la wachina watu wanyonyaji wadhurumati mfano hai wafanyakazi wao wanawatumikisha viwandani na magodown mzee baba chukulia mfano tu hapo tangu tuwe na ujamaa nao hawa watu tumefaidika na nini nchi yetu hadi leo

Tuache masihara anae fanya kazi kwa huyo mnaemuita beberu na mfanyakazi wa mchina na muhindi nani ana nafuu ya kimaisha kwanza smart msomi ana hudumiwa vizuri bima ya afya usafiri ana pewa pakulala mfanyakazi wa beberu huyo ambae ni mzungu njoo kwa mchina na muhindi tazama wafanya kazi wao wamechoka kiakili mwili maisha kwa siku ana lipwa kiwandani 5000 au 7000 hadi 3500 hebu angalia south African hajamfukuza huyo beberu

Utafananisha na nchi zingine walio mfukuza beberu na kuweka wachina Magufuli naomba usitume watu wako kwenda kukagua viwandani wala magodown ww siumesema kama unavyo jiita rais wa wanyonge nenda mwenyewe ukaangalie halafu wahoji wananchi wako jibu utalipata

Mimi CCM sielewi hapa nimeongea point lakini kuna vilaza wataniona me mbaya
 
Mkuu CCM akikusifu kwa lolote hapo tambua kuwa kumepinda.

Cc: paskali
 
Mchina ni wa kuogopa kama ukoma. Deal with the Devil
 
Hata hao mabeberu wakituheshim na kutambua kuwa sisi ni taifa huru,kwamba tunaweza kuamua mambo yetu bila kupangiwa na mtu,basi tutawaweka kundi moja na China,and vice versa is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…