Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Hakika dada" mbona kule umefunga sikupatiNipo Kaka wa Green. Habari ya siku?
Umewasikia mashabiki waliokosa kazi wanaobishania namba isiyo na faida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika dada" mbona kule umefunga sikupatiNipo Kaka wa Green. Habari ya siku?
Umewasikia mashabiki waliokosa kazi wanaobishania namba isiyo na faida?
Mkuu mbona tunajiita Mabingwa wa kihistoria faida yake nini?Ewaaaaa!!! Sababu Mtani kuanza kujadili nafasi zisizo na faida ni sawa na kuichosha akili tu.
UD Songo sio watu wazuri.WanaYanga wenzangu leo nimekatisha pale mitaa ya msimbazi na kuwakuta WAPENZI wa Simba wakijinasifu kuwa Klabu ya Simba ni ya 16 ktk ubora wa vilabu CAF. Yanga tukiwa Mabingwa wa Kihistoria je tunashika nafasi ya ngapi? Wachambuzi wa Soka hebu tuambieni.
Swali halijawahi kujibiwa kwa swali Mtani. 😎😎Mkuu mbona tunajiita Mabingwa wa kihistoria faida yake nini?