Silly
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 569
- 180
Wakubwa tuna changamoto kubwa ya kupata wadhamini wa timu yetu ya mpira daraja la kwanza (Champions). Aidha waliotangulia kwenye mpira hawakuwa watu sahihi na wamevuruga hali ya hewa kiasi kwamba mpira kwa sasa unaonekana ni ligi kuu tu. Tunatokaje hapa maana kwa kweli khali ni ngumu na kuuza timu sio suluhisho.
Naombeni ushauri wadau
Naombeni ushauri wadau