Tuna katiba ya kijinga sn lazima tuamkeKwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.
DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.
Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.
Ngongo kwasasa Uturuki.
Mim natumia uelewa sio mahaba na twit za sechai. Unapokuwa mwenez swal unaeneza nini? Jibu ilani.Nenda China kamuone mtu anayesimamia Itikadi ya Chama na majukumu yake
Itikadi ndio Injini inayoendesha Chama hivyo kwa sasa Makonda ndiye Dereva wa CCM
Labda nikusaidie, Mwenyekiti anaendesha na Kuongoza Vikao
Katibu ndiye Mtendaji Mkuu wa Chama
Mwenezi ndiye Msimamizi Mkuu wa Ustawi wa Chama
Jumaa kareem [emoji3]
Acha kukariri mambo ya magharibi hata yenyewe yana mapungufuKwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.
DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.
Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.
Ngongo kwasasa Uturuki.
hivi kwanini mnapenda kulinganisha vitu vichafu na vyeo vya kiserikali?Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.
DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.
Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.
Ngongo kwasasa Uturuki.
Katibu wa Itikadi na UeneziMim natumia uelewa sio mahaba na twit za sechai. Unapokuwa mwenez swal unaeneza nini? Jibu ilani.
Ilan ndio mpango kaz wa kukuletea maendeleo wewe unaye twiti. Muenez anaeneza ilan
Jukum lako kwenda kusoma ilan kuona barabar za kijijin kwenu vipi zinafikiwa?
Hiyo inafanya kwenye advanced democratic nations sio Tanzania yenye democrancy ya tia maji,......acha muenezi wa chama, makamu mwenye kiti wa chama anaweza kufukuza DCI kazi, katibu mkuu wa chama ana uwezo wa kupendekeza waziri aondolewi kabisa, DPP hupate muongozo kutoka chamani nani afutiwe mashitaka na nani ashitakiwe.......Tz ni nchi tofauti kipindi makonda ni mkuu wa mkoa alikua na nguvu kuliko kassimu majaliwa waziri mkuu, majaliwa alikua anaomba appointment kumuona Raisi kupitia Makonda.Mim natumia uelewa sio mahaba na twit za sechai. Unapokuwa mwenez swal unaeneza nini? Jibu ilani.
Ilan ndio mpango kaz wa kukuletea maendeleo wewe unaye twiti. Muenez anaeneza ilan
Jukum lako kwenda kusoma ilan kuona barabar za kijijin kwenu vipi zinafikiwa?
dahHiyo inafanya kwenye advanced democratic nations sio Tanzania yenye democrancy ya tia maji,......acha muenezi wa chama, makamu mwenye kiti wa chama anaweza kufukuza DCI kazi, katibu mkuu wa chama ana uwezo wa kupendekeza waziri aondolewi kabisa, DPP hupate muongozo kutoka chamani nani afutiwe mashitaka na nani ashitakiwe.......Tz ni nchi tofauti kipindi makonda ni mkuu wa mkoa alikua na nguvu kuliko kassimu majaliwa waziri mkuu, majaliwa alikua anaomba appointment kumuona Raisi kupitia Makonda.
Huwezi kuporwa kitu ambacho huna,ni lini mlikuwa mnamiliki nn mkapolwa na ccm?,ujinga wako bado tu haujakutoka?!,kazi ya kupambana na jpm bado haijaisha?Chama kinachopata madaraka kwa kupora chaguzi ni dhahiri kitakuwa kikubwa kuliko serekali.
Zama za ccm kushinda kwa bwerere na kihalali ziliishia kwenye uchaguzi wa 2005. Tokea hapo ccm imekuwa inatangazwa mshindi nje ya kura halali.Huwezi kuporwa kitu ambacho huna,ni lini mlikuwa mnamiliki nn mkapolwa na ccm?,ujinga wako bado tu haujakutoka?!,kazi ya kupambana na jpm bado haijaisha?
Hao waliolala wataamka lini?Tuna katiba ya kijinga sn lazima tuamke
Fact,thank you.Hiyo inafanya kwenye advanced democratic nations sio Tanzania yenye democrancy ya tia maji,......acha muenezi wa chama, makamu mwenye kiti wa chama anaweza kufukuza DCI kazi, katibu mkuu wa chama ana uwezo wa kupendekeza waziri aondolewi kabisa, DPP hupate muongozo kutoka chamani nani afutiwe mashitaka na nani ashitakiwe.......Tz ni nchi tofauti kipindi makonda ni mkuu wa mkoa alikua na nguvu kuliko kassimu majaliwa waziri mkuu, majaliwa alikua anaomba appointment kumuona Raisi kupitia Makonda.
Walichomfanya Polepole na Ndugai...Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.
DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.
Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.
Ngongo kwasasa Uturuki.
Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.
DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.
Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.
Ngongo kwasasa Uturuki.
Acha kuifananisha China na upumbavu wewe.Nenda China kamuone mtu anayesimamia Itikadi ya Chama na majukumu yake
Itikadi ndio Injini inayoendesha Chama hivyo kwa sasa Makonda ndiye Dereva wa CCM
Labda nikusaidie, Mwenyekiti anaendesha na Kuongoza Vikao
Katibu ndiye Mtendaji Mkuu wa Chama
Mwenezi ndiye Msimamizi Mkuu wa Ustawi wa Chama
Jumaa kareem π
Baada ya miaka 10 ijayo Diploma, Degree, Masters zitakuwa ni nyingi kuliko la saba, hapo ndiyo nchi itapata maendeleoHao waliolala wataamka lini?
Majukumu ni yale yaleAcha kuifananisha China na upumbavu wewe.
Kwa wasomi we hapa sioni jipya hawana tofauti na wasio wasomi ndo wamefikisha nchi hapo alipo, hamna watu bogus kama the so called wasomi wa nchi, huwezi kuamini kwamba profesa Kabudi ni msomi alie bobea, wakina bashiru, hawana impact yoyote kwenye jamii yetu.Baada ya miaka 10 ijayo Diploma, Degree, Masters zitakuwa ni nyingi kuliko la saba, hapo ndiyo nchi itapata maendeleo