Wadogo zangu hakuna shortcut kwenye Elimu

Wadogo zangu hakuna shortcut kwenye Elimu

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,585
Reaction score
1,771
Nimeona wahitimu wengi wa form four wakiulizwa wanampango gani after matokeo yao unasikia wanajibu wanataka kwenda college no matter how much wamefaulu mtu ana II na III badala ya kwenda advance anasema aende chuo kisa et chuo watu wako huru aliyewambia nani?? kuna sap na disco huko fata protocol nenda kaandaliwe ili mpate na muda wa kukua advance starehe mtazifanya tu ila someni kwanza.....
 
Back
Top Bottom