Wadogo zangu msisome Degree za Afya na Elimu

To the critical thinkers wakasome uwakili, wakifuzu kupita pale LST mbona asali imejaa hapa mbele, Kuna chronic shortage of advocates, ila Sasa shida ipo pale chuo, watakimviza mbususu, maparty kibao jamaa akitoka chuo hajaiva
 
Aliferi = alifeli, collage = college, walifahuru = walifaulu, ata = hata, watahalamu = wataalamu. Unapata wapi ujasiri wa kushauri mambo ya elimu wakati hata kuandika vizuri huwezi? Mwigulu alishasema watu kama nyie mbaki kushauri mambo ya uganga wa kienyeji.
 
To the critical thinkers wakasome uwakili ,wakifuzu kupita pale LST mbona asali imejaa hapa mbele ,Kuna chronic shortage of advocates ,Ila Sasa shida ipo pale chuo ,watakimviza mbususu ,maparty kibao jamaa akitoka chuo hajaiva
😅😅Hao kila mwaka wanafaulu 20 tuu
 
[emoji28][emoji28]Hao kila mwaka wanafaulu 20 tuu
Ndo hivyo Sasa ,Ile ndo sieving wale 800 waliofeli waliaribu Hela za wazazi Bure , Ila wale 20 mema ndo yanawangoja , Nina vacancy nne kwangu natafuta mawakili ,najua nafasi nyingi tu sema advocates ndo hamna ,ukiangalia starting salary Kama tax law ,haishuki 3.6M bado marupurupu yapo mengi tu
 
Hela ndefu mno 4mil na zaidi haya vijana wajitoe sadaka
 
Acha tu Maccm hayana ata action plan ya kutatua tatizo
 
To the critical thinkers wakasome uwakili ,wakifuzu kupita pale LST mbona asali imejaa hapa mbele ,Kuna chronic shortage of advocates ,Ila Sasa shida ipo pale chuo ,watakimviza mbususu ,maparty kibao jamaa akitoka chuo hajaiva
Haaaaa
 
Mie mwanakijiji sijasoma lugha ngombe
 
Kujitoleaa ni Ufala wa mwisho.
Wakati huku wanapewa posho, labda huko kwenu ufala au ujakutana na wanaojitolea , baadaye wanapewa ajira za mkataba, labda Kama mpo mbali na hospital za rufaa, we sema ufala wakat ni mbinu ya kuwa karibu, wanapotangaza kwenye ubao kazi wanachukuliwa wale wa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…