I have Bachelor on that issue Bro!!!.... Non employed na niko nasongesha gurudumu.
Kusoma ngazi ya bachelor iz not issue bro!!! Pia haijarishi kozi gani unasoma hata nje ya izo mbili bado suala la kuajiriwa ni changamoto pia kwa zama hizi, coz tuko nao mabwana kilimo, mifugo, wanasheria n.k tunakunywanao kahawa chini ya mwarobaini.
The matter sio umesoma nini au ngazi gani bali "ULIKUA NA LENGO GANI WAKATI UNAENDAKUSOMA"........ "Kuajiriwa?" kama ulikuaunawaza kuajiriwa "FUTTTA" Ila wapo kama mimi since day one tunajaza application form tuliweka kipaombele cha kujiajiri hivyo tulichagua kozi ambayo tunaweza kujiajiri kwayo na kutoboa bila kutoa kafara. Incase TAMISEMI "AMEKUONA" that's was plan B Bro!
TAKE NOTE
"Kama unandugu yako alishamaliza izo kozi mwambie asiwaze kuajiriwa (ila zikitoka asiache kuomba) bali aumize kichwa ni namna gani elimu aliyonayo inaweza kumsaidia kutoboa inside his/her professional coz.
Kwa wale walioshuleni msimchagulie kozi ya kusoma kama hauna nafasi ya kuwajiri, waambie wasome kile wanachokipenda, wanachokimudu na wanaweza kujiajiri kupitia hiko kitu."
USICHOKIJUA
Faculties/ Businesses zenyo soko ever ni ELIMU NA AFYA, (ila sio kwa mtazamo wa kuajiriwa)
Kitu wengi wanakosa ni Creativity tu!
I think its helpfully.