Wadogo zangu msisome Degree za Afya na Elimu

Duuh sura ya profile yangu hii[emoji1483][emoji23]
 
Naombeni nisaidieni apo me mdogo wangu ni HKL ana nambia kuwa hajui haende course gani na kamalza form six mwaka huu. Ushauri waungwana
 
Kuna kazi both NGOs and Government. Tembelea recruitment portal hasa za DRC, TAESA na Ajira Portal. Jaza documents zako official/ academic certificates ambavyo vipo certified na mwanasheria.
Hapo drc kuna matumaini halafu ni NGO ya kidanish na ipo based huko kigoma
 
I have Bachelor on that issue Bro!!!.... Non employed na niko nasongesha gurudumu.
Kusoma ngazi ya bachelor iz not issue bro!!! Pia haijarishi kozi gani unasoma hata nje ya izo mbili bado suala la kuajiriwa ni changamoto pia kwa zama hizi, coz tuko nao mabwana kilimo, mifugo, wanasheria n.k tunakunywanao kahawa chini ya mwarobaini.

The matter sio umesoma nini au ngazi gani bali "ULIKUA NA LENGO GANI WAKATI UNAENDAKUSOMA"........ "Kuajiriwa?" kama ulikuaunawaza kuajiriwa "FUTTTA" Ila wapo kama mimi since day one tunajaza application form tuliweka kipaombele cha kujiajiri hivyo tulichagua kozi ambayo tunaweza kujiajiri kwayo na kutoboa bila kutoa kafara. Incase TAMISEMI "AMEKUONA" that's was plan B Bro!
TAKE NOTE
"Kama unandugu yako alishamaliza izo kozi mwambie asiwaze kuajiriwa (ila zikitoka asiache kuomba) bali aumize kichwa ni namna gani elimu aliyonayo inaweza kumsaidia kutoboa inside his/her professional coz.

Kwa wale walioshuleni msimchagulie kozi ya kusoma kama hauna nafasi ya kuwajiri, waambie wasome kile wanachokipenda, wanachokimudu na wanaweza kujiajiri kupitia hiko kitu."


USICHOKIJUA
Faculties/ Businesses zenyo soko ever ni ELIMU NA AFYA, (ila sio kwa mtazamo wa kuajiriwa)
Kitu wengi wanakosa ni Creativity tu!

I think its helpfully.
 
Dah umeongea ukweli sn hakuna facult ambayo mtu akisoma kwa tz hii ana uhakika wa kuajiriwa kwa sasa ushaur n kwamba soma target iwe n kujiajir ila ikitokea ajira usiache kuomba
 
Mkuu nna mdogo wangu naomba aombe izo nafasi nne ulizonazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…