BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
ebu leta story ilikuwaje kuwaje.Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende...
Namba ya Single mother na father iliongezekaebu leta story ilikuwaje kuwaje.
Hapana kimsingi maisha ya sogea tukae yanakuwa yametawaliwa na hisia na motivation kubwa ni ngono na sio upendo wa kweli na case nyingi za sogea tukae zinwakuta vijana wadogo walioanza kujitegemea ni mara chache ndoa za namna hiyo kutoboaVipi amekufia geto
Kuwa tayari kuolewa sogea tukae ni wazi wote mnakuwa na tatizo sehemuHii sio poa kabisa. Huwa nikigusa tu naona wengi wapo tayari, nadhani shida ni kuziba goli
Ndio maana rate ya single mom inakuwa kubwa. Sema dada zetu Hawa, siku zote hukumbuka shuka wakati kumekucha
Hapana kimsingi maisha ya sogea tukae yanakuwa yametawaliwa na hisia na motivation kubwa ni ngono na sio upendo wa kweli na case nyingi za sogea tukae zinwakuta vijana wadogo walioanza kujitegemea ni mara chache ndoa za namna hiyo kutoboa
Yeah, ukimpa ushauri wa maisha, anahisi kama unataka kumtongoza. ...Ndio maana rate ya single mom inakuwa kubwa
Ubarikiwe nduguMtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende.
Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye uforce ndoa wewe ni mtu wa thamani sana kama mtu anakupenda basi ataenda kujitambulisha kwenu.
Miongoni mwa vitu navyojutia ni kuishi na mtoto wa mtu bila ya kwao kuwa na taarifa.
Kutambulishana ni sign ya wote kuwa mnajitambua na ndio namna kumuonyesha mwenza wako kuwa unampenda na kumthamini na upo proud kumtambulisha kwa watu wako wa muhimu kama wazazi.Unachosema ni sawa.
Lakini ukienda Mahakamani Majibu ni tofauti.
Ndoa nyingi zinavunjika kila siku na zimefungwa kanisani, na Watu wametambulishana.
Kutoboa kwa ndoa hakuna uhusiano wowote na kwenda kwa wazazi au kutokwenda.
Hoja yako kuu ambayo ni nzuri ambayo ninaikubali ni kuwapa wazazi heshima na kuonyesha kuwa mtoto huyo iwe kijana au binti hakujizaa wala kujikuza mwenyewe.
Thamani ya mwanamke sio mpaka apelekwe kwa wazazi sijui kutambulishwa.
Heshima ya mwanamke ni kumtunza na kumheshimu.
Wapo wanawake mamilioni kwa mamilioni wameolewa na kutambulishwa kwa wazazi na wanapitia unyanyasaji wa hali ya juu. Ukatili na kubagazwa.
Kitendo cha Mwanamke kuoelewa wake wengi ni kushusha heshima na utu wa mwanamke.
Kitendo cha kumtolea Mwanamke mahari ni kumshushia heshima mwanamke.
Kutambulishana na utaratibu mzuri na hasa unalenga kuwapa wazazi heshima na thamani.