wadua aliye ckia post za university of iringa ,NIT,na stefano moshi memorial university college

Dah ndugu nit tupo wengi,nikijaribu kuangalia nakutaka selected wa certificate tu,jaman yeyote mwenye msaada kwetu ma undergraduates tusaidiane
 
ondoen shaka..mi nipo NIT naingia 2nd yr..ht mwaka jana tulingoja sana..ndo inakuaga hvo kwa chuo chetu na mda upo sana coz tunafungua chuo mwez wa 11 tar 14..karibun NIT
 
kwaio kaka mpka lin koz me pia ni muhanga wa nit
 
Yaan wewe ni mwezangu na mimi, plz ukiskia za university of iringa tujuzane badi
 
Back
Top Bottom