Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
mtu ni roho mwenye nafsi anaishi kwenye jumba liitwalo mwili. Kifo ni roho kutengana na mwili. Mtu huyo hutoka katika ulimwengu wa mwili na damu na kuingia katika ulimwengu wa roho.Tumeaminishwa roho kuna sehemu inaenda
Kupitia wewe ndo anakuwa amerudi mavumbini kwahiyo tumbo lako ndo kaburi lake anakuwa anasubiri hukumu tu hapo😎nimeeleweka ee😁Kuku unayemla anarudije mavumbini?
Kuku/ Ng'ombe atafufuliwa?Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.
Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.
Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Unakula roho ya kuku au unakula mwili wa kuku?Hata wewe binadamu ni kitoweo cha baadhi ya organisms na viumbe kama mbu na viruses.
Mbona mbu akikugeuza kitoweo ukifa Kwa malaria unaenda mbinguni au motoni.
Jibu hapa kuku ukimla anaenda wapi ?
Hakuna mwenye akili anaetoa sadaka kanisani, ni wajinga wenzao hao. Wenye akili sadaka zao wanapeleka kwa walengwa moja kwa mojaNa ndio wanaotajirika mbeleni kwa kula hela za wenye akili za sadaka
Si tulikuwa sokwe kama historia inavysema?kimeandikwa na Roho Mtakatifu kupitia mtume Paulo. Ni NENO la Mungu. Mungu hufanya kazi kupitia watu., kwa ajili ya watu
Ni sawa sawa na kulipaki gari ili baadaye uendelee na safari.mtu ni roho mwenye nafsi anaishi kwenye jumba liitwalo mwili. Kifo ni roho kutengana na mwili. Mtu huyo hutoka katika ulimwengu wa mwili na damu na kuingia katika ulimwengu wa roho.
Umeshawahi kujiuliza kuwa unapokuwa tumelala usingizi mzito sana unakuwa uko wapi?
Anasubiri hukumu kutoka kwa nani?Kupitia wewe ndo anakuwa amerudi mavumbini kwahiyo tumbo lako ndo kaburi lake anakuwa anasubiri hukumu tu hapo😎nimeeleweka ee😁
Hakuna mwenye akili anaetoa sadaka kanisani, ni wajinga wenzao hao. Wenye akili sadaka zao wanapeleka kwa walengwa moja kwa moja
Hiyo nafsi inapatikana wapi?Kinachorudi mavumbin ni mwili tu wa mwanadam, mnyama na mdudu na mimea.
Ila nafsi haifi
View attachment 3672599
Kwenye picha hapo huyo mzee anaitwa Hans Macha. Ndie mtu mweusi mwenye share nyingi kuliko wote crdb.
Kanisani huwa anatoa sadaka mamilioni ya pesa .
Na ameshawai kutoa mchango wa milioni 500 pale kanisani KKKT kijitonyama.
Kwa hoja yako, je hans macha hana akili ndio maana anatoa sadaka kanisani ?
alikuwa myahudi, mheshimiwa Equation xMathayo alikuwa mzungu au mwafrika?
Tutumie hizi mvua za elnino kustawisha mahindialikuwa myahudi, mheshimiwa Equation x
Tulio mjini hatuna mashamba mkuu....Tutumie hizi mvua za elnino kustawisha mahindi
Msilalamike unga ukipanda beiTulio mjini hatuna mashamba mkuu....
Hahahahahaaaaaaaa naomba niishie hapa.... karibu hapa KATORO SDA tupate chakula cha KIROHO ambacho hakipandi bei mkuu.Msilalamike unga ukipanda bei
Viwanda havijengwi kwa mambo ya kiroho, huo muda unaopoteza hapo ni bora uchukue sururu ukapige mawe yawe kokoto.Hahahahahaaaaaaaa naomba niishie hapa.... karibu hapa KATORO SDA tupate chakula cha KIROHO ambacho hakipandi bei mkuu.