Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Drugs addiction.Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.
Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.
Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Si kweli, binadamu ameamua kujipa umuhimu kwa kujiandikia vitabu na kujitengenezea imani hewa.Binadam ndo tumepewa privilege zaid kwenye uumbaji ona tu tofaut zetu na wanyama wao inasemekana watakuja tu kutoa ushahidi kwa mujibu wa waislamu kuku ataongea sku hiyo kama ulifanya kosa mbele yake
Usiongee sana mkuu ila ukweli ndio huo ukifa umekufa na ndio mwisho wa maisha yako hayo mengine hakuna aliewahi kuthibitisha ni imani tu za watu.
Dunia kwa kiasi kikubwa iko chini ya ujinga na udikteta wa dini, Atheists na Agonistics wana haki na wajibu wa kupaza sauti dhidi ya dini/superstitions kwa sababu zinahusika kwa kiasi kikubwa sana katika sera, sheria, kanuni na taratibu nyingi sanaAtheists wana matatizo ya afya za akili, kwanini wawashwe washwe na pilipili wasizokula?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Yeye mungu aliumbwa na nani ?Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.
Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.
Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Hizo ni porojo tu, watu wasioamini, kuibeza na kuidhihaki miungu wamekuwepo hata kabla ya hayo maneno ya kitabu chako.Imeandikwa siku za mwisho kutakuwa na dhihaka.... kuhusu kuja kwa YESU kwa hiyo endelea kutimiza unabii tu mkuu
Nice poetryWarumi 8 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu.
²⁰ Kwa maana viumbe vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili; si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake yeye atiyevitiisha katika tumaini;
²¹ kwa kuwa viumbe vyenyewe navyo vitawekwa huru na kutolewa katika utumwa wa uharibifu, hata viingie katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.
²² Kwa maana twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja, navyo vina utungu pamoja hata sasa.
Unapokuwa umelala usingizi mzito sana unakuwa uko wapi ??mtu ni roho mwenye nafsi anaishi kwenye jumba liitwalo mwili. Kifo ni roho kutengana na mwili. Mtu huyo hutoka katika ulimwengu wa mwili na damu na kuingia katika ulimwengu wa roho.
Umeshawahi kujiuliza kuwa unapokuwa tumelala usingizi mzito sana unakuwa uko wapi?
Kwanza kwa nini anavunja maandiko na anakubaliwa ?View attachment 3672599
Kwenye picha hapo huyo mzee anaitwa Hans Macha. Ndie mtu mweusi mwenye share nyingi kuliko wote crdb.
Kanisani huwa anatoa sadaka mamilioni ya pesa .
Na ameshawai kutoa mchango wa milioni 500 pale kanisani KKKT kijitonyama.
Kwa hoja yako, je hans macha hana akili ndio maana anatoa sadaka kanisani ?
Kosa atakalosema labda ni wewe kumla.Binadam ndo tumepewa privilege zaid kwenye uumbaji ona tu tofaut zetu na wanyama wao inasemekana watakuja tu kutoa ushahidi kwa mujibu wa waislamu kuku ataongea sku hiyo kama ulifanya kosa mbele yake
Mungu hapangiwi atakavyo, we nani hadi umuhoji? Hebu umba hata sisimizi tu ikiwa akili zako zina hata 10% za kumkosoa Mungu kiuumbaji.Yeye mungu aliumbwa na nani ?
Kwa nini anahitaji shahawa na mayai kuumba mtu??
Kwa nini kama anataka mtu mpya duniani asimuibue tu kama wanavyofanya kwenye mazingaombwe??
Leta uthibitisho sisimizi wameumbwaMungu hapangiwi atakavyo, we nani hadi umuhoji? Hebu umba hata sisimizi tu ikiwa akili zako zina hata 10% za kumkosoa Mungu kiuumbaji.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hizi dini zinatulevya sanaShukrani sana mkuu, we only live once, watu hawaelewi..... ukifa ndo imeisha hio, watazaliwa wengine na maisha yataendelea... hizi dini zinatumbaza sana
Nina uthibitisho wa uwepo wa Mungu wangu lakini utakaza tu fuvu sababu ulishajiandaa kubisha.Leta uthibitisho sisimizi wameumbwa
Leta uthibitisho wa uwepo wa huyu mungu wako.
Sisimizi wamezuka tu kama chafya wala hawakuumbwa maana ndivyo fuvu lako linavyokudanganya.Leta uthibitisho sisimizi wameumbwa
Leta uthibitisho wa uwepo wa huyu mungu wako.
Tumia fuvu lako kuthibitisha wameumbwa badala ya kupayuka hovyo,Sisimizi wamezuka tu kama chafya wala hawakuumbwa maana ndivyo fuvu lako linavyokudanganya.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.