Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mkoani Arusha kuna kikundi cha vijana maarufu kwa jina la Wadudu, ambapo baadhi ya vijana kutoka kikundi hicho wamesema wapo tayari kushiriki uchaguzi mkuu ili wawachague viongozi watakaosimamia ndoto zao.
“Tunahitaji viongozi wenye maadili na utu ili watuletee maendeleo,” amesema Kenyenyo ambaye ni mmoja wa vijana wanaounda kikundi hicho cha Wadudu
“Tunahitaji viongozi wenye maadili na utu ili watuletee maendeleo,” amesema Kenyenyo ambaye ni mmoja wa vijana wanaounda kikundi hicho cha Wadudu