GE2025 Wadudu: Tunahitaji viongozi wenye maadili na utu ili watuletee maendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mkoani Arusha kuna kikundi cha vijana maarufu kwa jina la Wadudu, ambapo baadhi ya vijana kutoka kikundi hicho wamesema wapo tayari kushiriki uchaguzi mkuu ili wawachague viongozi watakaosimamia ndoto zao.

“Tunahitaji viongozi wenye maadili na utu ili watuletee maendeleo,” amesema Kenyenyo ambaye ni mmoja wa vijana wanaounda kikundi hicho cha Wadudu

Your browser is not able to display this video.
 
Akamatwe haraka huyo Kenyenyo
Wadudu ni hatari Kwa usalama wa binadamu kama wale watekaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…