Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kundi la Wasanii kutoka Arusha, maarufu kama 'Wadudu Official', limetoa wito mahsusi kwa Serikali kusikiliza madai yao kwa uwazi, weledi na kupitia majadiliano yenye heshima ili kuepusha mgawanyiko na vurugu zisizo na ulazima.
Wadudu Wametoa tamko lao rasmi leo Desemba 8, 2025, Lakini Pia Wameomba Kutopuuza yanayozungumzwa na Vijana hawa yanahitaji uzito na uangalifu, hasa baada ya kile kilichotokea katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.