Waelezee japo kwa ufupi hawa mabwana lemutuz na Mc pilipili

Waelezee japo kwa ufupi hawa mabwana lemutuz na Mc pilipili

Shukrani mshana wewe ni miongoni mwa watu nawaamini sana hapa jukwaani na ukichangia mjadala ninaoanzisha hapa huwa nafarijika sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wabongo bwana!!
Mc pilipili mbona anapiga kazi fresh tu.

AU ni ushindani Ndio unafanya watu wanapakaziwa mbovu.

Sister P-" Wanapaka tope jina langu achana nao,"
 
Back
Top Bottom