Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Watu wote wamezuiwa kutumia resources za CHADEMA kama wanataka nyaraka wafungulie CHAMA kishwa waende kwa Katibu Mkuu John Mnyika na kamati tendaji yake waulize maswali kuhusu hizo financial report wanataka
Unafungia chama kisifanye kazi halafu unaomba nyaraka za kihasibu huyo mhasibu anafanyakazi bila kulipwa?
Mawakili waiambie mahakama kwa sasa CHADEMA imefungiwa haya mambo wanamuomba nani inahitaji team au ofisi ziwe functional ili kuchambua hizo report na kuzipeleka mahakamani
Japo suala hili niliuliza mwanzo kabisa wamefungua kesi wanadai nini? Kutokana na hesabu zipi? Wao ndio walitakiwa kuonyesha hayo mahesabu na kuonyesha mapungufu na ku prove wapi zanzibar imepewa kidogo au kudhulumiwa, unafungua kesi ya kihasibu au uchumi bila financial data si utakuwa kichaa, mahakama ilipokea vipi hii kesi ? cc Rugemeleza