Waendesha bodaboda mnakera kulazimisha watu kupanda pikipiki zenu

anakujia mmoja unamwambia huendi,anakuja mwingine kutoka kundi lilelile
Hahaha labda tunachagua kama maembe sokoni

Ila nawaelewaga mimi kuwa ni nah tu. Mtu mwenye njaa hata akili haifanyi kazi vizuri
 
mimi binafsi hata kama wanatafuta riziki ila hapana too much ,
muda mwingine nabadilisha njia tu ili nikwepe usumbufu

napokaa mimi nkitoa mguu tu ,hata kichwa hakijaonekana boda kama 5 au 6 zishafika afu speed 120 breki mguuni kwangu WTF!!!!

Huwa cpandi naenda panda ya yule aliyetulia kijiweni afu nasepa ..

sikatai ni wanaume wenzangu wanaotafuta but guys this is to much....
 
Binafsi kwangu bodaboda wanamchango mkubwa sana, hizo nyingine ni changamoto tu za mazingiya yao.
Ni sawa na mwanaume ukikatisha uwanja wa fisi, malaya wanajua umeenda kuwanunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…