Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Merry xmass all jf members
Niseme ukweli. Hili neno waendesha uchumi nimeanza kulisikia wiki hii. Hawa watu ni kina nani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua? Mbona sikuwahi kuwasikia awali? Kwa mujibu wa mkurugenzi TRA ni kwamba wanachangia %70 ya mapato ya forodha.
Ningeweza kwenda TRA kuuliza ila pengine majibu yao yadingekuwa na nyama za kutosha. Humu kuna kila jibu na ziada pia