Pre GE2025 Wafadhili (Donors) wakatae kuipa Tanzania misaada kama hakutakuwa na mdahalo wa wazi nafasi ya Urais Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni.

Tumechoka kuona scripted speeches. Tunataka kuona watu watakaochuana kwenye Urais wakiwa on stage wakitetea hoja zao.

Kwenye chaguzi wa mwaka 2015, tuliona TWAWEZA waliandaa mdahalo lakini ni ACT Wazalendo, CHAUMMA na ADC ndio walikubali kushiriki lakini CCM na UKAWA wakaonesha kusuasua.

Ni muda wa donors au nchi wahisani kutusaidia. Waseme kwa umoja wao hakutakuwa na misaada iwapo kutakuwa hakuna mdahalo mwaka huu.

Tunataka kuona Samia akitetea hoja zake dhidi ya mgombea wa CHADEMA and vice versa.

Mambo ya kukariri speech alafu unakuja tuguizia on stage hatutaki.

Donors inabidi wamfahamu vizuri mtu watakayempa pesa zao. There is no point ya kumpa misaada mtu ambaye hata ku-debatw on stage hawezi.

Wanaotumia nguvu mara nyingi hawatumii akili. Huzitegemea nguvu zake kutatua matatizo.

Sasa ukimuweka kundi moja na wanaotumia akili unategemea nini?

Nakuhakikishia wanaotumia nguvu hawakubali hii kitu mkuu!
 
Hili linapaswa lianzie chini, yaani huko kwako kwanza. Iwe hv; mzazi mwenza wa mkeo asitume matumizi ya mtoto wake hapo nyumbani kwako Hadi afike yeye mwenyewe kuleta hayo matumizi.
 
Sa100 akikubali kushiriki mdahalo mje mniue!
Samia ana kazi ya kuhudumia watanzania, nyie mna kazi gani zaidi ya kukaa mitandaoni humu na kugossip hili na lile..... she's, in no way, going to waste her beautiful mind kwa ajili yenu nyumbu.
 
Wakuu,

Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni.

Tumechoka kuona scripted speeches. Tunataka kuona watu watakaochuana kwenye Urais wakiwa on stage wakitetea hoja zao.

Kwenye chaguzi wa mwaka 2015, tuliona TWAWEZA waliandaa mdahalo lakini ni ACT Wazalendo, CHAUMMA na ADC ndio walikubali kushiriki lakini CCM na UKAWA wakaonesha kusuasua.

Ni muda wa donors au nchi wahisani kutusaidia. Waseme kwa umoja wao hakutakuwa na misaada iwapo kutakuwa hakuna mdahalo mwaka huu.

Tunataka kuona Samia akitetea hoja zake dhidi ya mgombea wa CHADEMA and vice versa.

Mambo ya kukariri speech alafu unakuja tuguizia on stage hatutaki.

Donors inabidi wamfahamu vizuri mtu watakayempa pesa zao. There is no point ya kumpa misaada mtu ambaye hata ku-debatw on stage hawezi.

Huna akili wewe!
 
Tanzania ni nchi huru inajiamulia mambo yake. Nchi sio kama chadema inayopangiwa ajenda na Ford foundation.

Mnajiamulia mambo yenu yenyewe toka lini?

Siku hao wahisani wakigoma kuwapa hata senti, ndo siku CCM itaanguka maana hamtakuwa na la maana la kuwahadaa wananchi.
 
Matundu yapi hayo?Tundu la shule moja,ndio iwe shule zote.Wakati wewe pia unasaidiwa pia na jirani yako,lakini husemi.

Hilo ni tundu moja sio?

Unapata wapi nguvu ya kutetea serikali ambayo ndani ya miaka 60 bado mnasaidiwa na wahisani kujengewa matundu ya vyoo?

Hiyo audacity unatoa wapi?

IMG_0467.jpeg
 
Hili linapaswa lianzie chini, yaani huko kwako kwanza. Iwe hv; mzazi mwenza wa mkeo asitume matumizi ya mtoto wake hapo nyumbani kwako Hadi afike yeye mwenyewe kuleta hayo matumizi.

Mtu unajiita Dokta wa Manesi, cheo ambacho hakijawahi kuwepo duniani, unapata wapi nguvu za kunikosoa?

Yaani unafananisha kuongoza familia na kuongoza nchi?

Umeishia la ngapi?
 
Hakuna kama hicho

Tanzania asilmia kubwa wako vijijini hawana radio wala Tv
CCM kila kijiji na mitaa tuna matawi ya CCM

Wananchi huko wanatujua hawahitaji mdahalo kutujua

Maendeleo tuliyofanya yanajieleza.Mwenye macho haambiwi tizama

Wenye maneno matupu kama akina Lisu waende mdahalo kuongea vitu hewa

CCM hatuhitaji mdahalo
Mdahalo ungekua hauna uzito kiasi hiko CCM msingeuogopa. Mnajua madudu yenu yataanikwa. Mnaogopa wananchi wataamka usingizini na kuona maendeleo mnayoita maendeleo ni kiini macho tu.
 
Bwaahaaha bwahaaaa 😂😂😂, nimecheka kwa nguvu kinoma. Wananchi wengi wako vijijini hawana tv wala redio, ila dhalimu magu hata uzinduzi wa choo alikuwa anarushwa mubashara kwenye redio na TV. Na hapo bado hamjasema, hadi mseme. Mnajua kwenye mdahalo hakuna vyombo vya dola vya kuwabeba, hivyo hamko tayari kukutana na aibu ya karne.
 
Mdahalo ungekua hauna uzito kiasi hiko CCM msingeuogopa. Mnajua madudu yenu yataanikwa. Mnaogopa wananchi wataamka usingizini na kuona maendeleo mnayoita maendeleo ni kiini macho tu.
CCM tuna mifumo ya kusikiliza kero za wananchi mahali walipo na wanapoishi na kuzitatua hatusubiri kusikilizai kero kupitia mtu anayeishi ubelgiji

Hatuhitaji mdahalo na mtu anayeishi ubelgiji
Ruksa wananchi kupitia wawakilishi wao wanakoishi kutoa kero zao kwa viongozi wa wa maeneo yao kero zao zitatuliwe

Kumsikiluza mbelgiji ni kupoteza muda
Chama tawala hatuna muda huo lakini muda wa kusikiliza kero halisia za wananchi kwenye maeneo wanayoishi za maji ,umeme hospital ,nk tuko tayari kusikiliza na kutatua
 
CCM tuna mifumo ya kusikiliza kero za wananchi mahali walipo na wanapoishi na kuzitatua hatusubiri kusikilizai kero kupitia mtu anayeishi ubelgiji

Hatuhitaji mdahalo na mtu anayeishi ubelgiji
Ruksa wananchi kupitia wawakilishi wao wanakoishi kutoa kero zao kwa viongozi wa wa maeneo yao kero zao zitatuliwe

Kumsikiluza mbelgiji ni kupoteza muda
Chama tawala hatuna muda huo lakini muda wa kusikiliza kero halisia za wananchi kwenye maeneo wanayoishi za maki umeme hospital ,nk tuko tayari kusikiliza na kutatua
Hoja yangu iko pale pale kwa nini kama mnafanya kila kitu kwa usahihi muogope mdahalo? Eti?
 
Mdahalo na mtu anayeishi ubelgiji diaspora,? Anakuja tu wakati wa chaguzi tena yeye akiwa mgombea?

CCM tumewekwa madarakani na watanzania kutatua kero halisia za wananchi

Watanzania Hawakutupa kura CCM twende kwenye midahalo

Na midahalo haimo kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi

Huko kwenu kama midahalo ni sehemu ya ilani ya chama chenu mtajiijua wenyewe
 
Kwa lugha nyingine kama hamtaki kufuatilia maadili ya wazungu na utamaduni wao, mnyimwe misaada

Misaada hatutaki.

Kataa misaada
 
Mnajiamulia mambo yenu yenyewe toka lini?

Siku hao wahisani wakigoma kuwapa hata senti, ndo siku CCM itaanguka maana hamtakuwa na la maana la kuwahadaa wananchi.
Unaongea pumba sana. Kifupi ujielewi
 
Back
Top Bottom