Wafadhili mpaka lini?

Wafadhili mpaka lini?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
nashangaa vurugu mechi ya kumgombania Manji huko Yanga, kwani timu haiwezi kuendeshwa bila misaada yake.kama vipi mimi naona umefika wakati timu iuzwe kwa mtu anayeweza kueiendeleza.
 
nashangaa vurugu mechi ya kumgombania manji huko yanga, kwani timu haiwezi kuendeshwa bila misaada yake.kama vipi mimi naona umefika wakati timu iuzwe kwa mtu anayeweza kueiendeleza.
Nchi yenyewe inapanga bajeti huku asilimia kadhaa zinatoka kwa wafadhiri........ Itakuwa yanga banaaaa........... Wewe mwenyewe hapo ulipo inawezekana hiyo kiibodi unayotumia umefadhiriwa na ofisi..........
 
nashangaa vurugu mechi ya kumgombania Manji huko Yanga, kwani timu haiwezi kuendeshwa bila misaada yake.kama vipi mimi naona umefika wakati timu iuzwe kwa mtu anayeweza kueiendeleza.

Hakuna timu kubwa yeyote duniani isiyo na wadhamini. Vinginevyo, timu hishia hapo hapo pindi masuala ya kifedha yanapolegalega. Mfano wa timu zenye matatizo ya kiufadhili ni Portsmouth ya Uingereza ambayo sasa hivi iko mkiani kwenye msimamo wa ligi. Ilikosa hata fedha za kulipa mshahara wa wachezaji.

Hivyo, kwa vyovyote vile ili timu iwe imara kushindana lazima iwe na uwezo wa kujiendesha kifedha kwa maana ya kuwa na chanzo imara cha mapato ikiwa ni pamoja na wafadhili. Mimi mnazi wa Manutd kwa mfano wa wafadhili wake ni AIG, Nike, Audi, Hi Seoul, Kumho Tires n.k. Hiyo in mifano kwa manutd pekee, hivyo iwe Barcelona, Arsenal, Chease na timu zote lazima zina wafadhili wao wa kuaminika.

Hivyo Yanga siyo vibaya kuendelea kumuomba Manji aendelee kufadhili timu kama hawajapata wafadhili wengine wa kuaminika maana ni muhimu kwa mafanikio ya club.
 
Nchi yenyewe inapanga bajeti huku asilimia kadhaa zinatoka kwa wafadhiri........ Itakuwa yanga banaaaa........... Wewe mwenyewe hapo ulipo inawezekana hiyo kiibodi unayotumia umefadhiriwa na ofisi..........

Angalia ushabiki usikupofushe, maana naona unaongozwa na jazba.
 
Hakuna timu kubwa yeyote duniani isiyo na wadhamini. Vinginevyo, timu hishia hapo hapo pindi masuala ya kifedha yanapolegalega. Mfano wa timu zenye matatizo ya kiufadhili ni Portsmouth ya Uingereza ambayo sasa hivi iko mkiani kwenye msimamo wa ligi. Ilikosa hata fedha za kulipa mshahara wa wachezaji.

Hivyo, kwa vyovyote vile ili timu iwe imara kushindana lazima iwe na uwezo wa kujiendesha kifedha kwa maana ya kuwa na chanzo imara cha mapato ikiwa ni pamoja na wafadhili. Mimi mnazi wa Manutd kwa mfano wa wafadhili wake ni AIG, Nike, Audi, Hi Seoul, Kumho Tires n.k. Hiyo in mifano kwa manutd pekee, hivyo iwe Barcelona, Arsenal, Chease na timu zote lazima zina wafadhili wao wa kuaminika.

Hivyo Yanga siyo vibaya kuendelea kumuomba Manji aendelee kufadhili timu kama hawajapata wafadhili wengine wa kuaminika maana ni muhimu kwa mafanikio ya club.

naomba tofauti ya mfadhili na mdhamini tafadhali!
 
Bila Fisadi Manji kwasasa Yanga Mdembwedo tu....
 
Hakuna timu kubwa yeyote duniani isiyo na wadhamini. Vinginevyo, timu hishia hapo hapo pindi masuala ya kifedha yanapolegalega. Mfano wa timu zenye matatizo ya kiufadhili ni Portsmouth ya Uingereza ambayo sasa hivi iko mkiani kwenye msimamo wa ligi. Ilikosa hata fedha za kulipa mshahara wa wachezaji

mzee naona ss unachanganya madawa manji ni mfadhili yy huwa natowa tu hana anachopata yanga wakati hao unaowataja ni wadhamini wanatowa na wao wapate.

tz naona kama wako serious basi wanzishe professional football haya mambo yote yataisha.na hawa wafadhili wa bongo sio kazi yao ingia toka kama harusi iliyokosa kungwi.
 
Back
Top Bottom