Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 889
Nawashukuru sana wakuu, Kizimkazimkuu na Maane, wanatupatia picha kubwa zaidi kuhusu kazi za foundation and the mechanics that exist with various interest groups. Nadhani mkiendelea kutuletea facts hapa basi tutaweza kuelewa vizuri sana hali halisi katika foundation hii.
Ila ninachoshangaa ni kuwa hata Clinton Foundation si wapo Tanzania na walikuwa na mradi wa kupeleka vijana madaktari (interns) kuhudumia wananchi huko mikoani? Sasa kama vile kuna overlao, au hii ni program nyingine?