Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

daah!ungejua nimesoma na wakishua wengi st kayumba maana hzo engish medium zimeshka kasi 2002 na kuendelea.nenda zanaki,jangwani nk utaamini by the way kupanga ni kuchagua

1995 napasua boarder la namanga japo si wa kishua..starehe boys!...msingi ndo muhimu!hiyo ulizozilenga ni secondary
 
wewe utakuwa mtoto wa 90s.....a. mengi,f.lowassa,s.mwinyi, na wengine wengi wamesoma muhimbili primary,forodhani,bunge na tulikuwa tunaenda na fagio[i aint one of them]....je hao sio wa kishua????

umekurupuka!...hawajuzungumziwa wakina mengi mkuu!....macelebrity wengi wa bongo ni wa kuanzia 80s!mimi si wakishua ila kwa umri wangu sijawahi kusoma shule mbaya!
 
umekurupuka!...hawajuzungumziwa wakina mengi mkuu!....macelebrity wengi wa bongo ni wa kuanzia 80s!mimi si wakishua ila kwa umri wangu sijawahi kusoma shule mbaya!

najaribu kukuonyesha kuwa wakishua wengi wamesoma shule na kwenda na fagio....wakishua whether celebrity or not wakishua ndio point yangu......kwenda na fagio haina maana shule mbaya,wakati sisi tunasoma ukiondoa ist upanga/masaki shule bora ni muhimbili,upanga,bunge,forodhani,mlimani na ndio zilikuwa za kishua na UFAGIO LAZIMA,ni utaratibu tu.
 
PIA B;REAL amezaliwa mnamo mwaka 1976 arusha,baba ake anamiliki bar za gongo na msambazaji mzuri wa bange arusha nzima,amezaliwa matejo baada baba yake kuaza kugushi viroba vya koyangi alifanikiwa kujenga ungalimited mitaa ya olsokoni.
 
1995 napasua boarder la namanga japo si wa kishua..starehe boys!...msingi ndo muhimu!hiyo ulizozilenga ni secondary

primarry zilikuwa mhimbili,zanaki kisutu upanga na nyingine za uswazi wachache ndo walisoma nje na english medium zilikuwa chache
 
kweli kabisa
 
PIA B;REAL amezaliwa mnamo mwaka 1976 arusha,baba ake anamiliki bar za gongo na msambazaji mzuri wa bange arusha nzima,amezaliwa matejo baada baba yake kuaza kugushi viroba vya koyangi alifanikiwa kujenga ungalimited mitaa ya olsokoni.

haya bwana celebrity
 
primarry zilikuwa mhimbili,zanaki kisutu upanga na nyingine za uswazi wachache ndo walisoma nje na english medium zilikuwa chache

nakubaliana na wewe!...uswahili tulikuwa tunasema jamaa anasoma mjini!shule unaenda na gari la family,jirani au bus!means that gharama kama haukai town lazma ziongezeke kwa mzazi!
 
We kwenye hizo post umeona maneno yangu tu ya kashfa hayo yake hukuyaona au kwavile sikuwa nayajibu na kuconcentrate kwenye moja tu la topic sio hayo binafsi.

Nilichoona kuwa wewe ndo ulikua chanzo cha kumtolea kashfa jamaa baada ya kuweka picha lakini kabla ya hapo sikuona akikushambulia.

Any way,tufanye yameisha maana mie siwezi kujibishana kama huyo unayemuita limbukeni. I'M OUT OF THIS TOPIC
 
ila ukimzungumzia mtu kuwa staa una maanisha nini?
 
Famili bora ni iloyo na uwezo au amani
---- familia kila mwana familia ana gari na kazi nziri lakini home hawaongei. Kuna familia wote wa daladala lakini home wanaongea na ku share kila walichokipata. Hujaona mke anayekimbia nyumba nzuri ya mme enaenda kaa uswahilini chumba na sebule?
 
BuffG sio wakishua kabisaaa! Kwa temeke mikoroshoni sema ndio wale TEAM ASS LICKER..yuko lazi a lick ass watoto wakishua ili a hang nao
 
Jamani binamu mi hoi kwa jokate na vmoney
Na mpaka sasa hivi wapo mbali Jokate DC,VMoney yupo na Udadafaundation yake nilimsikia akiojiwa na Metro FM ya South Africa kwa Kingereza akijiachia kama mzungu tena kingereza kile cha ndani na sio cha kungaunga,kumbe naye wa Kishua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…