Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

Kweli kazi hamna. Mnadiscuss maisha ya watu. Nyie ya kwenu nani atadiscuss? Mbona maisha yao yalikuwa kawaida sana? Umaskini bwana.

The king.

Hilo ndio kosa nililolisema mimi hapo mwanzo sasa hao wakuja wanatokwa na mapovu,,, tokea lini ushawahi kuona wakishua anakaa nyumba ya Kota? Kisa tu Upanga na English medium ndio wa kishua, ukiwaambia Maskini wanaona unawadharau. ACHENI UMASKINI JAMANI fikra za miaka hiyoooo mnaleta leo. Huko Upanga kwenye kuna Magenge balaa na vioksi.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
halafu kwa bahati nzuri hatumfahamu.ila hongera zake amejitahidi kujielezea tujue nae ni wa kishua though kwa experience yangu,watu wanaopenda kujipamba kama bwana mkubwa hapo ni malimbukeni a.k.a wameanza kushika pesa ukubwani na bado hawaamini kama ni wao

Namtetea jamaa kwa nguvu zote hakujikweza ila majibu ya huyo dada ndio yalipofikia hapa. Anaamini kisa yeye na wazazi wake ni maskini basi wote ndio wanaishi maisha hayo. Ye kama kakubaliana na umaskini ni yeye sasa kumkashifu mwenzake kama wewe unavyotoa kashfa ili iweje labda angenyamaza angepungukiwa nini kama nyumba ya uzeeni au ya pensheni ni yao na wazazi wake. Mie hapa najivunia nyumba ya uzeeni ya wazazi wangu na nimesahau msoto wa kipindi cha nyuma maana hata Bakhresa kapatia mali utu uzima.

Msilete chuki zenu za maisha mka generize kwa wote maana classess haziwezi kuwa sawa...period
 
The Lady Ana Kisirani Flan Sometimes......Nilishamsoma Siku Miiiiiingi So Huwa Najitahidi Kukaa Mbali Naye......Nimeona Haya Majibishano,Nikasema...Well!Well!Well!...Wacha Movie Iendelee......
 
Teh teh teh sawa King of Sheba ndo nishajitangaza hivyo hizo sehemu unazozitaja ndio baba na mama wamehamia nini kutoka Mkoa? Naona kaka umerudi baada ya grid ya Taifa kurudi au ndio unaingia Mbezi sasa hivi? Teh teh teh mie ukikata ni mwendo wa standby generator tuu NOO Mgao wala grid. Mie sio tajiri ila sio Maskini kama wewe hata kidogo.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Imekuuma sana hao wenzio kukaa Obey na Upanga, huko mwisho wa mji enzi hizo kulikuwa misitu tu. imekuuma hao wenzio kuitwa wakishua ulitaka tukusifie wewe wakati sio celeb..

Acha ulimbukeni utajiri wako humu waache wakusifie huko IG sisi hatukufahamu humu.
 
The Lady Ana Kisirani Flan Sometimes......Nilishamsoma Siku Miiiiiingi So Huwa Najitahidi Kukaa Mbali Naye......Nimeona Haya Majibishano,Nikasema...Well!Well!Well!...Wacha Movie Iendelee......

Lady gan tena binamu
 
Hivi dada yangu ukiwa na maisha mabovu ni wote lakini? Mbona ye hajakubishia kama we ni maskini na umekiri? Simply na wewe umkubalie wa kishua nafsi yake iridhike.

Kwani nimembishia yeye angalia huko mwanzo nilimwambia kama wewe ni tajiri sawa ila sio celeb, si alidhike naona kakosa kazi na kuanza kutangaza utajiri wake akaweke huko jf photo wamsifie humu sio jukwaa lake.
 
Mwache huyo limbukeni utajiri anaforce tumsifie au kudiscuss utajiri wa kwao kwani ye celeb au imemuuma kumwambia akina vanessa wakishua. Haya warumi mwongeze kwenye hiyo list aridhike

Nimuongeze wapi?? Naongelea watu wenye titles zao mjini ambao maisha yao tunayajua wala haiitaji kutumia nguvu sana kujielezea.
 
Last edited by a moderator:
Hilo ndio kosa nililolisema mimi hapo mwanzo sasa hao wakuja wanatokwa na mapovu,,, tokea lini ushawahi kuona wakishua anakaa nyumba ya Kota? Kisa tu Upanga na English medium ndio wa kishua, ukiwaambia Maskini wanaona unawadharau. ACHENI UMASKINI JAMANI fikra za miaka hiyoooo mnaleta leo. Huko Upanga kwenye kuna Magenge balaa na vioksi.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Sasa we kina kuuma nini hata kama walikuwa kawaida kushinda wewe ila hawakuwa sawa na wengine waache wasifiwe... we kama unaona fikra za zamani acha wanaoona fikra za karibuni waongee.
 
Nimuongeze wapi?? Naongelea watu wenye titles zao mjini ambao maisha yao tunayajua wala haiitaji kutumia nguvu sana kujielezea.

Waongeze na hawa wanaotumia nguvu jf kujielezea wakishua na hakuna aliye wauliza.. kwani hata wakikaa tandale nani atawauliza.
 
Mi nawaangalia tu wanavyojishebedua apa kama wanawake wajawazito wakat mimi nimewaongelea ma celebrities tu.
 
Sio Muhimu Cuzoo,Nilikuwa Namjibu Jamaa Kwa Mtazamo Wake Juu Ya Mabishano Ya Vijana Wawili Katika Huu Uzi Wako....Ila Ni Insignificant!

Aya bwana, naona nimeingilia league za watu aiseeh
 
tuna discuss watu na umaarufu wao bhna wanaofahamika, sasa naona kuna watu na wenyewe wanatak kuji celebritisha apa

Wazungumzie lakini usilete uongo na uwe na ushahidi sio story za kwa Shigongo afu unajifanya unawajua.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Waongeze na hawa wanaotumia nguvu jf kujielezea wakishua na hakuna aliye wauliza.. kwani hata wakikaa tandale nani atawauliza.

Sasa kama sijaulizwa we kilichokuuma na kutokwa na mapovu kama ya OMO ni nini?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
tuna discuss watu na umaarufu wao bhna wanaofahamika, sasa naona kuna watu na wenyewe wanatak kuji celebritisha apa

Wapaishe tu binamu wataridhika me ngoja nijiondokee humu... hawana jipya. Celebatabaki kuwa celeb wengine watabak kuwa fans japo wanapesa kushinda hao celeb.
 
Sasa we kina kuuma nini hata kama walikuwa kawaida kushinda wewe ila hawakuwa sawa na wengine waache wasifiwe... we kama unaona fikra za zamani acha wanaoona fikra za karibuni waongee.

Tatizo sio kusifia,,tatizo ni kudanganya watu ni hilo tu!

Back
Top Bottom