Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

umewasahau inspekta haroun na luten karama wa gangwe mobb...wakishua sana hao kutoka pande za Temeke...kuna watu watabisha!
 
Zamani u-super star haikuwa rahisi kama sasa hivi! Waliokuwa wanawika kama Abbas Mwinyi, Idd Janguo, Abdul Msomali (rip), Ippy Malecela (rip), nk.
 
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.

kweli mkuu Ay kuna ngoma yake moja kamchana sana baba yake.
 
Wasanii wa nini hao? Manaake hata wezi siku hizi wanaitwa wasanii.
 
Afu mbaya zaidi wanakaa kwenye nyumba za msajili afadhali wangesema huko Masaki,Upanga obey ni kwao!

sasa brother kama vyeo vya baba zao enzi hizo vinalazimisha wapate nyumba oysterbay watafanyaje?? itabidi waishi huko tu hamna choice....kwani hao wote waliotajwa huko sio kwao???
 
malofa siku zote ni shida kabisa hawaishi daylight dream.

Mkuu kwani lazima awe lofa kama wewe? We njaa kama mnayo ni kwenu sio wote wana njaa mie binafsi sioni mnachoweka mjadala hadi sasa hivi ni simply tu kumkubalia maana hampungukiwi chochote kama kudanganya ni nafsi yake. We kinachokuuma labda ni nini?

Mie binafsi sio tajiri sio wa kishua ila na Enjoy maisha na sipati tabu.
 
Hakuna anayebisha mkuu walifurahi maisha zamani,sio wote wanaokaa huko kuna mtu anasoma kwenye gazeti na story za vijiweni anakuja kuchangia huku na kutudanganya sasa kuna mmoja kamuweke wazi kuwa hao wengine sio kwao wanaenda kushinda tu wengine kwa shangazi zao walikuwa wanaenda. Mara sijui AY kasoma A-level Mazengo kumbe mtu kasoma ifunda.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
malofa siku zote ni shida kabisa hawaishi daylight dream.

Haya mkuu mie lofa kama wewe,,,teh teh teh Umaskini na stress ni kitu kibaya sana!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani lazima awe lofa kama wewe? We njaa kama mnayo ni kwenu sio wote wana njaa mie binafsi sioni mnachoweka mjadala hadi sasa hivi ni simply tu kumkubalia maana hampungukiwi chochote kama kudanganya ni nafsi yake. We kinachokuuma labda ni nini?

Mie binafsi sio tajiri sio wa kishua ila na Enjoy maisha na sipati tabu.

Achana nao mkuu Blog sasa hivi bado wapo njiani kwenye foleni nyumbani saa5 usiku halafu kesho Muhindi anataka wafike kazini saa2 asubuhi kuamka saa11 alfajiri teh teh teh teh....mtu wa dizaini hizo ataacha kuwa na stress?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:

Umeumia sana inavyoonyesha imekuuma sana hao kutajwa wakishua nawewe usiwepo no way out kubaliana na matokeo tu kaa ule pensheni na mirathi maana ndio kilichobaki kwa sasa... ingawa matajiri wa uzeeni ni mnakuwa malimbukeni sana.
 
Teh teh teh waniume nini hakuna ktk hiyo list hata mmoja anayeniumiza naona wana maisha ya kawaida tu labda kwako wewe uliyefika nyumbani sasa hivi ndio maana sijakushangaa we wakuja mtu anakaa nyumba za Kota unasema wa kishua.

Teh teh teh wewe mbona baba yako hajajenga ya pensheni au akununulie kiVitz japo cha kuepukana na acha ya usafiri.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Jamani mbona mmemsahau commando jide au hamjui kama wakishua
 
Teh teh teh pole kama nilivyo sema tokea mwanzo siijui shida hadi huwa nashangaa watu wanaosema wanaolala njaa naona wanatania au ulishaona kuna sehemu nimechangia maisha magumu? Tokea mtoto nashuka Ngazi toka chumbani naenda Sebuleni na sizijui hata seat za daladala ndani zikoje,nursery nilikua napelekwa na gari,,o'level-Universtiy na push gari hadi sasa hivi! Au tukutane IG

Unavyosema uzeeni ndio nikushangae!

Mshukuru Mungu
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Teh teh teh waniume nini hakuna ktk hiyo list hata mmoja anayeniumiza naona wana maisha ya kawaida tu labda kwako wewe uliyefika nyumbani sasa hivi ndio maana sijakushangaa we wakuja mtu anakaa nyumba za Kota unasema wa kishua.

Teh teh teh wewe mbona baba yako hajajenga ya pensheni au akununulie kiVitz japo cha kuepukana na acha ya usafiri.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

We si inakuuma hata hizo kota ujakaa maana hamkua hata na hadhi ya kukaa hizo nyumba angalau pensheni imewainua kujenga chumba na ukumbi kule goba basi aah ukajiona umewin lmao pole if u cant beat them join them ndo wameshaishi huko we ridhika tu na huko mkoani pwani.
 
Back
Top Bottom