Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Utajiri wa uzeeni utaujua tu ulimbukeni mwingi.
unanikoshaga sana wangu na mapoint yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiri wa uzeeni utaujua tu ulimbukeni mwingi.
Hahaaaa kuna watu inawauma kwavile wamekulia kwenye msoto pension na mirathi vimewainua wanatamani wafute past history zao...
Mimi ndo mleta uzi, una tatizo gani na mim? Naona unatak kuniviruga, usijaribu kuamsha mizimu yangu aiseeh, nishasahau habar za ban
Tatizo watu hawajikubali, mbona mimi najikubali tu nimetokea kwenye familia ya kikabwela , kwan kitu gani bhana?? Maisha hayafananani hata siku moja, nashangaa watu wanalilia maisha ya kishua
hivi Lucci ni mtoto wa Mzee Tsere huyu balozi wa Tz nchini Malawi
Acha kutokwa na mapovu wewe stress za nini?Wewe kama kwenu uswazi piga kimya.Sasa kama wametoka kwenye familia za kishua we inakusaidia nini,poor mind
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Yeah ....
Wapuuz wanalilia maisha ya kishua badala ya kutafuta vyao
HAta kama akikaa kuzimu , yule katoka ushuani bhana
Teh teh shukuru sana pension la sivyo ungejisifia kwa lipi... unawish ungeanza tena std 1 ufute memory za kidumu na ufagio lol...
na joti baba yake alikuwa balozi lakini wa hapa hapa mtaani kwetu
na joti baba yake alikuwa balozi lakini wa hapa hapa mtaani kwetu
jamani na mi mtoto wa kishua hvyooii!warumi na qn of sheba nifagilieni pleaseeee!
Teh teh teh pole kama nilivyo sema tokea mwanzo siijui shida hadi huwa nashangaa watu wanaosema wanaolala njaa naona wanatania au ulishaona kuna sehemu nimechangia maisha magumu? Tokea mtoto nashuka Ngazi toka chumbani naenda Sebuleni na sizijui hata seat za daladala ndani zikoje,nursery nilikua napelekwa na gari,,o'level-Universtiy na push gari hadi sasa hivi! Au tukutane IG
Unavyosema uzeeni ndio nikushangae!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
wacha wee! mengi ni kaka yako na bakhress ni mjomba wako!