stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Kweli kazi hamna. Mnadiscuss maisha ya watu. Nyie ya kwenu nani atadiscuss? Mbona maisha yao yalikuwa kawaida sana? Umaskini bwana.
The king.
Hilo ndio kosa nililolisema mimi hapo mwanzo sasa hao wakuja wanatokwa na mapovu,,, tokea lini ushawahi kuona wakishua anakaa nyumba ya Kota? Kisa tu Upanga na English medium ndio wa kishua, ukiwaambia Maskini wanaona unawadharau. ACHENI UMASKINI JAMANI fikra za miaka hiyoooo mnaleta leo. Huko Upanga kwenye kuna Magenge balaa na vioksi.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app