Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ni mtoto wa Dioniz Malinzi
maana hizo team zinatoa maneno ya ajabu we zinawaumiza wanaosemwa sa wenzao ndo wanalipua mabomu makubwa ka hayo.Angewapiga marufuku hizo team zake kutukana watu hovyo, maana hizo team ndo chanzo, naona jipange kawa mpole leo , huyo aliyetengeneza hizo picha kawaweza
maana hizo team zinatoa maneno ya ajabu we zinawaumiza wanaosemwa sa wenzao ndo wanalipua mabomu makubwa ka hayo.
Kylin yah ila huyu mpepa kistuli ni ujanja tu wa town ila sio wakishua wala nn kawaida tu... Bila kusahau marehemu Langa R.I.P na Shaa pia hawa kwao tangu zile enzi za Coca popstars walitembelewa kwao mambo si haba ni watoto wa mikocheni na Obey
Ok, ivi umesikia umbea binamu wa uko insta?? Naona team wema wana msiba leo, nasikia kuna mtu kapost picha ya mama wema akiwa uchiii wa mnyama kipwapwiso chote nje, sasa haijajulikana ni kweli au editing
Nakubaliana na wewe....alinifundisha General studies,Tambaza
Hapa wanaongelea selebriti. Kuwa na fedha tu sio kigezo cha kuingia kwenye hii list.pia umemsahau fita lutonja mwana wa simbitti huyu ni mtoto wa kishua kweli, baba yake ni big business man pale yorkshire uingereza na mama yake prof. Prisca alikuwa lecturer wa midlander university [uk] dada yake suzy alikuwa senetor wa jimbo la dallas(USA). Yeye Fita anamkwanja wa kufa mtu na kwa sasa yuko USA anashughurikia NGO yake ya TVEDN.
Hapa wanaongelea selebriti. Kuwa na fedha tu sio kigezo cha kuingia kwenye hii list.
Na salama jabir je??, k-lyn,
Lol nilikua sijui kama kukaa Upanga kwenye nyumba za msajili unakuwa wa kishua...watu tuko huku nje ya mji full Upepo View attachment 166394
Penny na yeye sio wa kishua ??
Crazy GK nae mtoto wa upanga - akina FA walikuwa wanapewa hifadhi nao wakajiita wakishua Baba ake alikuwa kigogo na mama ake ni mbunge wa viti maalum Chadema. AY nae alikuwa wakishua babake alikuwa kigogo pia serikalini